Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Hapa na Pale mtaani

Mchezo huo unatupia hicho kitufe sijui ?wale wanaoujua uzuri wanaweza kutusaidia zaidi Ndio kinazipiga mfano wa chupa hapo sasa mshindi anapatikanaje ndio shida sie wa midako yetu mtaani Huyu nae yuko tayari kushughulikia wale wasumbufu Hapo...

Taswira za Ubungo

Hata wapita njia hawa walijiachia na njianai humo wakidunda kwa raha zao Baada ya lile zoezi la kuwaondoa machinga maeneo ya Ubungo kusimamiwa na wenye maeneo hayo yaani TANESCO zoezi hilo limekuwa na tija kubwa sana kama unavyooona...

Nyumba ya maajabu Tabata Ugombolwa

Kulikuwa na vibanda vya biashara maeneo hayo na vimeondolewa vyote na kubaki kimoja hicho kushoto kutokana na zahama la kupigwa mawe na mtu wasie mjua kiasi kilichopelekea kutokea kutokuelewana na majirani wakijua wao ndio wanao rusha mawe hayo Kwa...

FA wamzengea Hodgson

Chama cha Kandanda nchini Uingereza kimesema kimeanza mazungumzo na Roy Hodgson ili akinoe kikosi cha Timu ya Taif nchini humo baada ya kuondoka aliyekuwa kocha Fabio Capello baada ya mzozo wa ubaguzi wa rangi wa uliomhusisha aliekuwa Nahodha wa timu...

Tundu Lissu ashinda kesi

sehemu ya hukumu ilikuwa hivi.................................................... HOJA YA TISA, Kama Mgombea wa walalamikaji (CCM) alikataa kusaini matokeo. Hoja hii haipaswi kunipotezea mud asana. Njau hakuhudhuria, aliwakilishwa na mlalamikaji wa...

Taswira

...

Guardiola

Barcelona paid an emotional tribute to departing Pep Guardiola after the Spaniard confirmed he will leave the club at the end of the season. Guardiola ends a trophy-laden four-year era with the Catalan giants. PICTURE:CRedit to Daily M...

Taswira la Usafiri

Hapo ni mtu nyomi au mizigo nyomi...

Bad news..Good News na Gado

...

Neno La Leo:Bunge Ni Eneo La Umaskini !

Ndugu zangu, Hapo juu ni nyumba ya Waziri Maige na chini ni nyumba ya kabwela Mtanzania. Na Spika wa Bunge, Anne Makinda alipata kutamka, kuwa Bunge ni eneo la umasikini. Astaghafilulahi! Haki ya Mungu, ukistaajabia ya Mussa utayaona ya Firauni. Na...

Adha ya Usafiri Jijini

Usafiri katika Jiji la Dar es Salaam umekuwa shida kiasi ya kwamba watu wamekuwa wanabanana ndani ya daldal ili waweze wahi makazini kwao.Wakati mwingine inakubidi uwahi sana kuamka asubuhi kwa wale wanao fanya kazi mbali na makazi yao na kwa jiji...

Zitto kwenye ITV "Kumekucha" Aprili 25, 2012

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma amezungumza na ITV kuzungumzia masuala mbalimbali muhimu hasa masuala ya nishati na hoja ya kura ya kutokuwa na imani...

SERIKALI IWAWAJIBISHE MAWAZIRI WANAOTUHUMIWA KWA UFISADI-TGNP

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI   SERIKALI IWAWAJIBISHE MAWAZIRI WANAOTUHUMIWA KWA UFISADI Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) unapenda kuwapongeza wajumbe   wa  Kamati za  Kudumu za Bunge za Hesabu za Mashirika ya Umma...

Chelsea yatangulia Fainali

Torres akishangilia goli sa kusawazisha lililoinyonga kabisa Barcelona jana katika Uwanja wa Nou Camp na kufanikiwa kufika fainali za Ligi ya Mabingwa wa Ulaya zitakazochezwa Munich,Ujerumani na kuwavua rasmi ubingwa mabingwa hao Barcelona. Barcelona...

Barcelona na Chelsea NANI Mbabe leo ?

Chelsea wakijifua tayari kwa mtanange hapo leo usiku katika mchezo nusu fainali ya pili katika Uwanja wa Nou Camp mjini Barcelona watakapoonyeshana kazi na Barcelona FC huku wakiwa na faida ya goli moja. Wachezaji wa timu ya Barcelona wakijifua...

20th Anniversary of the Open University of Tanzania

THE OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA Directorate of Communications and Marketing 20th Anniversary of the Open University of Tanzania The Open University of Tanzania (OUT) is this year marking its 20th anniversary since it was founded after the enactment...

Eva na Suzzy

Eva na Suzzy wakishoo love baada ya misa ya Jumapili KKKT huko Moshono, Arusha. Picha kwa hisani ya mdau toka pande hizo za A-T...

Hakimu ambembeleza Lulu mahakamani

Mtuhumiwa wa mauaji ambaye ni msanii wa filamu Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu akilia wakati alipofikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana.(Picha na Michael Jamson) ............................................................................................................................................

Unapoambiwa Bomoa Hapa !!

Akiwa ameshamaliza Jengo lake la biashara kama kitega uchumi chake anajikuta anaambiwa umejenga chini ya nyaya za TANESCO unatakiwa ubomoe. Unaweza ongea lugha zote siku hiyo hiyo imemkuta mkazi mmoja wa Tabata njia ya kwenda Mtaa wa Ugombolwa...

Kipanya Leo Gazetini !

             Kipanya Gazetini ...

Kamera yetu ufukweni.

Kamera yetu ya Kijiweni Rundugai ilitembelea moja ya fukwe jijini Dar es Salaam na kupata taswira mbalimbali. Hapa ni baadhi ya bembea ambazo unaweza kuja pumzika kidogo baada ya shughuli za kulijenga Taifa Wengine huamua kuja na mahema na kujipumzisha. Michezo...

Tetesi :Diwani ajivua gamba Arusha ahamia CHADEMA

Kuna tetesi kuwa Diwani wa Kata ya Sombetini (CCM Arusha) ahamia chadema habari hizo zimetangazwa na East Africa radio hiyo ni baada ya aliyekuwa MWENYEKITI wa UVCCM, Mkoa wa Arusha,kwa miaka mitano, James Millya, kukihama chama hicho hiv karibuni. TUTAWALETEA...

Siha Na Maumbile: Nguvu za Kiume

Msiki Msikie mtaalam huyu jinsi anavyoelezea tatizo sugu la nguvu za kiume na sababu zisababishazo tatizo hilo linalotesa wanaume wengi dunia...

Muda Mfupi Baada ya Millya kujivua GAMBA...

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NEC Chama cha Mapinduzi (CCM)Bw.Nape Nnauye(Pichani) ametoa tamko muda mfupi baada ya Mwenyekiti wa UVCCM, Mkoa wa Arusha James Millya kujiunga na CHADEMA na Kusema ''Nampongeza Millya kwa kuamua kukisaidia Chama Changu,...

Millya Ajivua ''GAMBA'' Arusha

Na Gladness Mushi wa Fullshangweblog-Arusha MWENYEKITI wa UVCCM, Mkoa wa Arusha,kwa miaka mitano, James Millya, ametangaza kujiuzuru nafasi zote kuanzia Taifa hadi Mkoa na kutangaza kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa madai kuwa...

Kwanini napinga mchakato wa Katiba Mpya ulivyo sasa na kwanini wewe pia yakupasa uupinge

M. M. MwanakijijiKuamua kushiriki mchakato huu wa "mabadiliko ya Katiba" kama ulivyoanzishwa na kusimamiwa na Chama cha Mapinduzi ni kukubali matokeo ya mchakato huo na hivyo kuupa uhalali ambao ninaamini kabisa hauna. Mchakato huu umekubaliwa - kwa...
© Copyright 2025 Udaku Kijiweni | Designed By Code Nirvana