Ali Kiba ambaye kanoga
sana na suti yake ya Burgundy akiwa amei accessorize na A Fedora
hat,nice oxford shoes,jewelry ametinga a silver ring na bracelet na
naona mkono wa kushoto una bracelet ya gold.
Mama Twins looking good in white and nude akituhusia sana kuzingatia muda caption yake ilikuwa hii
”The value of your time is determined by you”
Faraja Nyalandu all smiling ,i just love
the blouse, the color ,the fitting and the bow niiice ,nae nimpenda
african prints namuona na pochi yake ya kitenge mambo ya B2A.


Speaking of vitenge another kitenge lover
karock her african print turban mbali na smile yake accessories are on
point #weloveselfies
Maza wa Maznat bridal kapendeza sana na
her white and orange floral dress,alipo add that blazer imeongeza ladha
kwenye muonekano wake .
Rio Paul jumamosi ilopita alikuwa
Sandton South Africa alipoenda kwenye uzinduzi wa collection ya BALMAIN X
H&M ambapo hapo karock the BalmainxHm blazer which we adore am so
jealous right now .
Besties hawa Faraja na Sophia Byanku wakiwa wametokelezea ready kwa mtoko ,Sophia that dress is amazingly beautiful
Belina Mgeni lovely make up by laviemakeup
Weekend for Jojo ilikuwa ni mambo ya Massai Top and Jeans shorts bila kusahau #Messyhairdontcare
Lulu nae mtoko wa weekend alitinga
rippend jeans na cut out t shirt ,mliambiana na Jojo mvae Ankle strap
sandals kila mtu na color yake??itakuwa coincidence tu


Sijui dada kubwa ulikuwa una cheer on what but naona ni #stronggirl 





Kapendeza mwenyewe na striped skirt na kijasti chako.
Jojo again
Mama na wane ni Bkinemo with her girls wamevaa zao african prints by kikisfashion