Jamaa siku yao ya kwanza ya ndoa akamuuliza mkewe,... "Una hakika mimi ndiye mwanaume wa kwanza kulala nawe?."
Mke akajibu, "Ndiyo honey, wengine wote ilikuwa hatulali ni shughuli tu mpaka asubuhi."
Bwana harusi kazimia...
Ingekuwa ni Wewe ungefanyaje?