Loading...
Goodluck Jonathan atangaza nia
Rais Goodluck Jonathan wa Nigeria ametangaza nia yake kushiriki katika kinyang'anyiro cha kugombea kiti cha urais hapo Januari Mwakani.Hivyo kuondoa wingu lililokuwa limetanda kama atagombea kiti hicho au la.Wasifu wake kwa ufupi ni kama ifuatavyo;-
GOODLUCK JONATHAN
* Aged 52
* Christian and ethnic Ijaw
* Studied zoology at university
* Never elected to public office
* Became Bayelsa state governor after predecessor impeached
* Became president after Umaru Yar'Adua died
Kwa hisani ya BBC News
Post a Comment
CodeNirvana