Joe Riley aliposti Instagram picha akiwa na Cristiano Ronaldo wakati huo akiwa mdogo akionyesha kuwa ametoka mbali hadi kufikia hapo alipo.Kwa sasa akiichezea Manchester United.
Joe Riley kinda mwenye umri wa miaka 19 anayekipiga Manchester United alicheza dhidi Shrewsbury jumatatu usiku katika mchezo wa Kombe la FA akiingia kipindi cha pili.