Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

HUYU NDIO MBUNGE MDOGO KULIKO WOTE KATIKA BUNGE LA 11 LA TANZANIA

Bi Halima Abdallah Bulembo, 24, anayetoka Kagera ndiye mbunge mwanamke mwenye umri mdogo zaidi katika bunge la kumi na moja la Tanzania.
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top