Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

WAOLEWAJI, WAOAJI MIYEYUSHO MITUPU


polr4f0w84254x0
Kwa mara nyingine wapenzi wasomaji wangu tunakutana tena siku hii ya Jumatatu murua katika kilinge chetu hiki cha XXLove kwa kudra za Mwenyezi Mungu.

Asanteni wadau wote mnaonitumia ujumbe mfupi wa sms na kunipigia simu kwa maoni na ushauri kuhusu mada ya wiki iliyopita ya Kumbe Kubembelezwa Siyo Kupendwa.

Kwa maoni yenu ni dhahiri kwamba wengi wenu mmekuwa mkidanganywa hivyo mtakuwa mmejifunza kitu.


Leo nazungumzia mada inayojieleza hapo juu kuhusu ndoa. Nianze kwa kusema kuwa katika miaka ya hivi karibuni suala la ndoa limekuwa kama kitendawili f’lani hivi.

Uchunguzi wangu mdogo na wa kawaida umenipa majibu kuwa waolewaji wako tayari kabisa ila waoaji ndiyo wamekuwa ‘michosho’. Hawaeleweki au hawapo tayari.


BADO UNAJIPANGA?
Ninaamini kikwazo kimojawapo kwa vijana walio wengi ukiwauliza watakwambia ‘bado najipanga’.


Kimsingi hakuna kujipanga kihivyo katika maisha. Unavyoishi ndiyo maisha halisi, mengine unayoyataka yanaweza yakapatikana au yasipatikane, inategemea na vile unavyojituma, sambamba na kumshirikisha mtoaji wa riziki ambaye ni Mwenyezi Mungu. Tukumbuke hakuna namna tunavyoweza kufanya mambo yetu bila kumshirikisha Mungu.


MAPENZI KABLA YA NDOA
Ishu kubwa zaidi inayochangia kwa vijana wa kiume na kike kutooa au kuolewa, si ishu ya kutokujipanga bali kujiingiza katika tendo lenyewe linalohusisha ndoa kwa maana ya kufanya tendo kabla ya ndoa.
Re: dreamstime couple in bed On 2013-02-26, at 9:37 AM, Byers, Jim wrote:     Jim Byers Travel Editor Toronto Star office: 416-869-4337 mobile: 416-540-4361 Blog: http://thestar.blogs.com/travel twitter username: jimbyerstravel
MFANO
Unadhani kwa tabia yako ya umapepe na kutembea na wanaume ovyo, ni nani atakuoa wakati kila mtu anaujua mwili wako? Umri wako ni chini ya miaka 18 ila una msururu wa wanaume, hilo ni tatizo tena kubwa sana.


TABIA YA VIJANA
Kwa tabia yako ya uzinzi, hakuna kijana anayekufahamu atakuwa tayari kukuoa, yawezekana hapo ulipo usiku wa kuamkia leo hujalala kwenu, umekesha kwenye vigodoro, kumbi za starehe au kwingineko. Kama haitoshi, hukohuko ukapitia kwa mwanaume mwingine kulala mbali na yule uliyekuwanaye kwenye muziki.


KAMA NI KUOLEWA
Kama ikitokea ukaolewa, basi ujue mwanaume ameamua tu kujitwisha gunia la misumari au ni mwanaume asiyezijua tabia zako vizuri na mwanaume wa namna hiyo basi atakuwa ametoka mbali na hakuulizia tabia yako kwa wenyeji wake.


KUGAWA PENZI OVYO
Kama utaendelea kugawa penzi ovyo, hakika ni vigumu mno kuwa na ndoa kwa sababu wanaume wanapenda kuonjaonja na kama wakikataliwa kuonja kama walivyodhania uamini mwanamke huyo ndiye anayestahili kuwa mkewe.


Kimsingi hili ndilo tatizo kubwa sana linalokikumba kizazi cha sasa kiasi cha kusababisha ndoa nyingi kupungua. Kila kukicha vijana wanabadilisha wachumba kwa kisingizio hakuwa taipu yake, ukimuuliza taipu gani unayohitaji haijui!

Mpenzi msomaji unadhani ni kwa nini wanaume hawa na wanawake wengi hawaolewi kwa sasa? Tujadili. Tuma maoni yako na yatachapishwa kwenye safu hii wiki ijayo.


Pia usikose kutembelea mtandao wetu wa Mimi na Uhusiano kwenye Mtandao wa Facebook na Instagram kwa elimu zaidi kuhusu mapenzi.

MFANYE MPENZI WAKO UNAYEMPENDA AWE NA FURAHA NA PENZI LENU

"Kwenye mahusiano ya kimapenzi ni vizuri uzito wa mahusiano uwe pande zote mbili, mapenzi huwa matamu zaidi iwapo umpendae naye anakupenda kwa kiwango umpendacho wewe, na si vinginevyo maana tofauti na hapo mapenzi huwa kama kero au mzigo na hisia hukupelekea kujiumiza moyo na kujiharibu kisaikolojia".

Wewe ni mtu mzuri na unampenda sana msichana wako, kiasi kwamba unamkubali sana mpaka unampa dunia yako kumuonyesha unavyomjari, ndani ya muda mrefu mliopo kwenye uhusiano umeshajitoa kwa mengi, kimuda na hata kifedha, unamchukua kutoka kazini kila siku ndani ya juma ili tu asije kuchosha miguu yake mizuri na laini.

Unamsaidia kwa kila jambo analohitaji na umeacha kutumia muda wako na marafiki zako ili kusudi uwe na muda mwingi zaidi wa kutumia naye, umemnunulia gauni la gharama na vingine vingi ili apendeze bila kuchoka huwa unabadilisha ratiba zako ili ziweze kuendana na za kwake ili muwe pamoja na kumuonyesha jinsi gani alivyo na nafasi kubwa ndani ya moyo wako, na unafanya yote haya bila ya kumtaka kitu chochote kutoka kwake.

Na hata hivyo ni mara moja tu siku ule ulipokua unaumwa ambapo ulimuomba akupikie ugali na akakuchukulie mishikaki unayoipenda pale uswazi teki awei, ambapo alikataa kwa upole na kukwambia hajui kupika vizuri ugari na wewe ulikubali kwa roho safi maana hupendi kuwa kero kwake.

Sasa turudi kwenye uhalisia.

Rafiki sijui nikuambieje ili unielewe, kaka hapa unatiketi moja tu inayokwenda bila kurudi ambayo kupeleka kwenye nchi ya mvunjiko wa moyo ambapo wapo wapenzi wake wa zamani aliowaacha.

Ni muda wa kumuuliza, "Hivi ni kipi umenifanyia mimi hivi karibuni?".

Kila ukiwa unamfanyia kitu kizuri nahisi labda unaona kama unajiongezea pointi nyingine za ziada, lakini kiukweli ni kwamba kama yeye hatojihusisha na kuchangia kwa kukufanyia wewe hayo mambo mazuri unayomfanyia yeye kwenye uhusiano wenu, jua kabisa nguvu zako zitakua hazina faida yeyote ile, ni kama maji mtaroni yanayopita tu, na hapa ndipo kiumeni.com tunapokwambia kwanini!.

Kikawaida tunaweza kuwapa ushauri wanaume wengi wanaokutana na haya wavunje uhusiano tu pale mwanamke anapomtumia mwanaume bila kurudisha upendo wowote ule anaofanyiwa, hapa simaanishi yale mambo yetu mengine ya kitandani.

Lakini kama kweli umejiweka kwenye huu uhusiano kwa roho yote na unataka uhusiano uendelee kuwa wa muda mrefu lazima ufanye na yeye awekeze hisia zake na hata pesa zake kwenye huu uhusiano hata kama ni asilimia 50%.

Hapa haijarishi wewe ni tajiri kiasi gani, ni mzuri kiasi gani au ni mwanaume mwenye mahaba yote duniani kiasi gani, kama mwanamke hana kitu chochote alichowekeza kihisia, iwe ki muda au ki fedha lazima atakuacha iwapo mtu mwingine ambaye yuko zaidi ya wewe akitokea. Kama sheria za UDAKU KIJIWENI  zinavyosema(kama msomaji utakua unazijua), "Mtu mpya na ambaye ni zaidi yako huwa yuko nyuma anakuja, anasubiri ukosee kidogo tu", na kama hata jiwekeza kwako likija dili ambalo ni zaidi ya wewe unalompa lazima ataondoshwa tu

Bado hujaniamini tu?

Kama ukiwekeza kiasi fulani cha muda na fedha kwenye mpango flani, iwe kununua nyumba au kuanzisha biashara, utakua unajua uchungu na uzito wa kitega uchumi chako tofauti na ukiwa umepewa bure.

Sheria hizi hizi ndizo zinazofanya kazi kwenye mapenzi, ni ubinadamu kuona uzito na uchungu kwenye kitu ambacho umekiwekeza, sasa nini swali kwako, "Ni nani anayechangia sa kwenye uhusiano wenu?, ni wewe au ni malaika wako mrembo?

Fikiria kwa umakini maana uhalisia wa jibu lako tayari limeshafanya kazi kubwa kuutengeneza uhusiano wako jinsi ulivyo sasa.

Mwachie baadhi ya malipo afanye yeye...

Inabidi uwe kama vocha isiyorudishwa, fikiria kila saa msichana wako akienda kununua mahitaji yake, analipia kwa vocha na anapata muda wa maongezi, atafanya hivi kwa kipindi kirefu mpaka ndani ya muda atakuwa na muda wa maongezi ambao anaweza kuutumia kuongea kwa miaka mingi, sasa vipi kampuni nyingine ya vocha ikiingia na kumpa ofa nzuri zaidi?, kwa unavyofikiria anaweza kubadilisha kampuni?

Kama hata kuwa na muda wa maongezi mwingi na wewe, basi kuna nafasi kubwa atabadilisha kampuni bila kujiuliza na kwa upande mwingine kama atakua na muda wa maongezi mwingi wa miaka kumtosheleza maongezi yake kutokana na jinsi alivyowekeza, hawezi kubadilisha kampuni. Umeipata pointi yamgu, Rafiki?

Kazi yako...

Ni kazi yako kumfanya msichana wako awekeze muda na hela kwenye kampuni yako ya vocha ili ikija kampuni nyingine isiweze kumchukua akili kwa ofa nzuri itakazokuja nazo.

Kwa kuwa sasa hivi nimeshakuelewesha umuhimu wa kumfanya msichana wako awekeze kwenye uhusiano, sasa utafanyaje ili aanze kuwekeza?

Omba misaada: Kitu muhimu cha kuangalia sasa hivi ni misaada, kama akikupa msaada atajishauli amefanya hivyo kwa sababu unamvuto kwake na unastahili kufanyiwa hicho alichokifanya, acha sasa hivi akuhudumie vizuri, mwache sasa hivi akupikie, saa zingine mwombe aje akupitie kazini na mwache alipie baadhi ya vitu ambavyo vipo ndani ya uwezo wake.

Ukiishiwa vocha usione aibu kumtumia tafadhari niongezee salio mara moja moja.

Hii ni moja ya sababu hutakiwi kuweka mayai yote kwemye kapu moja, na ndio maana huwezi kumwacha mwanamke ambaye hakujali kwa sababu wanaume wengi wanakuwa wamewekeza muda mwingi na fedha kwa huyo mwanamke.

Muda ni pesa: unaweza kumwongezea hamasa zake kwako kwa kumfanya atumie muda mwingi na wewe kwa kufanya vitu unavyovipenda na sio anavyovipenda, hii itamuonyesha uzito wako kwake.

Sio mbaya kumbeba mwanamke kama dhahabu, ila hakikisha ndani ya uhusiano kila mmoja anawekeza na sio uhusiano uwe unaegemea upande mmoja tu, kama kweli anahisia na wewe basi hisia zake zitamwendesha na yeye akujali wewe kama ambavyo zinakuendesha wewe.

NJIA NZURI YA KUMFANYA MWANAMKE AFIKE KILELENI HARAKA, JE UNGEPENDA KUIJUA ?

Kuna njia mbalimbali za kumuongezea wigo mwanamke kufika kileleni na kuna kitu kimoja wanawake wote husema, "Kufika kileleni huitaji utulivu wa akili na hisia!".
 Kama ukimweka mwanamke kwenye mazingira mazuri kiakili na kihisia, kuna uwezekano mkubwa na mwili wake kufuata na kumfanya afike kileleni.
 
Japo wanawake wanatofautiana,  imejaribu kuongea na baadhi ya wanawake na wametumegea siri na kutupa njia nzuri ya kumfikisha kileleni mwanamke kwa haraka, japo ilikua mpaka tulipowapa baadhi ya siri zetu za kiume kidogo ndo wakalainika kutuambia...

Kama ukitaka kumfikisha kileleni kwa haraka, ni vizuri mwanamke ukamweka juu yako ili aweze kudhibiti kasi, msuguano na engo ya uume wako ndani yake, japo nawe unaweza kupata matamanio ya kumsaidia, ila ni vizuri ukamwacha  mwenyewe ili usije kumharibia kasi anayoitaka yeye na kuitumia.
 
Inabidi upambane na matamanio yako na uendelee kutulia na umsikilize anataka wewe ukaeje ili ajiongezee msisimko zaidi na kwa sasa inabidi uutulize mwili huku mikono yako ikishughurika na uitumie vizuri, unaweza kuwa unampapasa sehemu za makalio yake au nyuma ya kichwa chake sehemu za shingoni mpaka kisogoni kwa hali ya kimahaba, na kama umekaa wima utajiongezea pointi zaidi kwa kumbusu shingoni na kuongea maneno mazuri ya kimahaba na kumsifia kwa uzuri wake na sifa nyingine.

JINSI YA KUJUA KWELI MWENZA WAKO UMEMFIKISHA KILELENI NA KUMRIDHISHA MWANAMKE

Unahisi unaweza kutofautisha kama umemfikisha kweli mpenzi wako kileleni au anapiga kelele za kimahaba za kukuzingua?, mwanamke ambaye zamani alikua anamzingua mpenzi wake kwa kelele za kimahaba anatuelezea kwanini ni vigumu kuliko unavyofikili kutambua na utatambuaje!.

Mimi sio mwigizaji, zaidi ya hapo nilikuwa mtu wa mwisho kwenye maigizo kipindi cha shule ya msingi, ila nina uwezo mkubwa wa kusema "Oooh, hapo hapo.. unanifikishaaa!", mpaka mwanaume akahisi kweli amenifikisha, hata hivyo siko peke yangu wanawake wengi tu wanaigiza wakati wapo wanafanya mapenzi.
Utafiti wa kitaifa wa ngono uliofanywa na chuo cha indiana, ulionyesha asilimia 85% ya wanaume wakisema mara ya mwisho kufanya ngono waliwafikisha kileleni wenza wao, hata hivyo asilimia 64% tu ya wanawake walisema walifika kileleni mara ya mwisho walipofanya ngono, hii inamaanisha ni hesabu ya ajabu hata mtoto wa darasa la pili anajua imekosewa, na inamaanisha asilimia 21% ya wanaume walidanganywa na milio ya kimahaba ya wenza wao na wakaamini kuwa waliwafikisha.
Iwapo tukichukulia na wewe utaki kuwa mmoja wa hao waliodanganywa na mbaya zaidi hawakua na ufahamu wowote kuwa wamedanganywa, Kiumeni.com wamekuandalia dalili zinazoonyesha na zitakazokuwa zinakuonyesha iwapo unadanganywa.

        #1; Unamwelewa

Tuweke hivi, "Ooooh, hapo hapo usiitoe... ooh, naisikia mpaka kichwani!", mwanamke huwa anasema hivi akiwa anakandwa miguu yake na maji ya moto baada ya safari ya miguu ya mwendo mrefu, "OH... USI...., JAMA... UNA.... NDIO...., HAPO HA...", hivi ndomwanamke anavyosema ukiwa unashughurika vizuri kitandani, akiweza kuunganisha sentensi nzima na ikaeleweka ujue anakuzuga, maana akifikia mshindo akili yote inakua kama haifanyi kazi vizuri na ikitokea akiwa analia kama kwenye video za ngono wanavyolia, ujue anakusubiri umalize mambo yako aanze kukuelezea shida zake alizonazo, wale wa kwenye video za ngono huwa wana igiza, mwanamke wa kihalisia wa kawaida huwa hawafiki kileleni iwapo mwanaume anatumia nguvu ovyo ovyo bila ya mpangilio na msuguano wowote unaohusisha kinembe.

         #2; Anakubusu bila kuacha

Kwa mwanamke ili afike kileleni, inabidi awe na umakini mkubwa na kuweka hisia zake zote kwenye msuguano na msisimko anaoupata mwilini mwake ili afike mshindo, kubusu na kutekenya hawezi kuvifanya kwa wakati huo ambao anaweka mawazo yote mahala hapo, ukiona unataka kumpiga denda akageukia pembeni ujue mambo ndo yamemkolea vizuri na sio vinginevyo.

        #3; Uso wake unakuwa mzuri

Ulishawahi kujiangalia kwenye kioo wakati uume waako unagombana na mikono yako, najua ulishawahi kujisugua, nani ambae hajawai..., hakuna!, na unaelekea yale mambo kumwagika, unajua usowako unakuwaje?, uso wako unakuwa kama vile unataka kutolewa maisha au kama unataka kulia vile, binadamu wote wako sawa upande wa kihisia, hata wanawake pia!, akiwa na sura nzuri wakati ndo anafika mshindo ujue hapo hakuna!, anatakiwa kuwa na sura ambayo haina mvuto kama anataka kulia na sio awe bado anapendeza kama ndo anaingia harusini.

      #4; Unafanya mapenzi na mpenzi wako kwa stairi ya kimbwa mbwa

Mwanamke kufika kileleni kwa stairi ya kujamiiana kutoka kwa nyuma ni sawa na wewe kufika mshindo huku mwanamke akiwa anakuchezea kwa mikono.
Sijasema haiwezekani, ila inahitaji ufundi mkubwa na dereva inabidi awe anaijua kwa umakini mkubwa njia yake anayopita, ili manbo hayo yaweze kutokea, kwa hio nitakua na wasiwasi kama mwanamke akisema kafika kileleni kwa kutumia hio stairi, mwanamke anauwezo mkubwa wa kufika kileleni iwapo anafanya mapenzi ila yeye ndo yuko juu ya mwanaume kashika msukani, au kwa stairi ya missionary inayoitwa Coital Alignment Technique kwa kifupi The Cat, najua huijui... i gugo(google) na utaiona.

     #5; Ngozi yake inakuwa nyororo na kavu

Mwanamke akiwa amefika kileleni eneo la kuma yake linakuwa limeloana, moyo humuenda mbio, presha ya damu vyote vinakuja juu ambavyo inamaanisha lazima jasho limtoke kwa aina yeyote ile na mwili unakua na majimaji kwenye ngozi, hii ni moja ya dalili amekwea mlima na kufika kileleni kwa furaha na kama ni mmwagaji, kuma inatokwa na maji basi shuka zote huwa zimeloana.

UNAJUA MVUTO WA KIMAPENZI NA SIRI ZAKE, UNAJUA NI NINI KINACHOMFANYA MWANAMKE AVUTIKE KWAKO NA ALAMA ZA IWAPO KAMA ATAKUBALI UKIMTONGOZA ?

"Mwanamke ameumbwa kutoka kwenye ubavu wa mwanaume na siku zote mvuto wa mwanamke au hamasa juu ya mwanaume uwa ipo kwa kipindi chote ila kinachotofautisha hali ya upendo ya mwanamke kuvutika na wewe au la, ni kiasi cha mvuto[hamasa] alichonacho juu yako."

Najua hujanipata vizuri hapo, kaa vizuri sasa ili uweze kunielewa hii mada tunayoiongelea siku ya leo ndani ya Udaku Kijiweni naona hapa tungetumia mfano ingekuwa vizuri zaidi.

Kwa mfano; Abeli amevutika na Aneti na ndo amemuona kwa siku ya kwanza huyu msichana wa kipare aliye mzuri kwa urembo wake usio na kifani, kabla Abeli hajamuendea Aneti kumsemesha, mvuto wa kihisia wa Aneti tukichukulia kwa asilimia 1 mpaka 100 unakua asilimia 40%, hii inatokana na sababu ya kuwa siku zote kibaiolojia mwanamke huvutika kwa mwanaume.

Iwapo mwanamke atakua na asilimia 100% ya mvuto kwako huyu hata kuwa na haja wala hata sababu ya wewe kumtongoza maana tayari atakua ameshavutika na upendo juu yako tayari umeshawaka moto, atakuwa anajipendekeza na kujigonga kwako kwa hali ya juu, hata ukimwambia aende kuiba benki akeletee kila kitu atafanya kwa uaminifu mkubwa.

Akiwa na hamasa ya asilimia 0%, hapa hata ukimzawadia kisiwa cha malavidavi na kumfanya awe malkia wa nchi ili kuwa na wewe haitowezekana na hata akiwa na wewe inakua kwa sababu ya kimasirahi tu.

Akiwa na hamasa ya kati ya asilimia 51% kwenda juu hapo kunauwezekano wa kumbadilisha maamuzi na kufanya kuundwa kwa uhusiano wa kimapenzi na kimahaba ila unahitajiwa kuwa mbunifu na mwanaume kiongozi.

Ili uongeze mvuto na kumfanya mwanamke ahamasike na wewe inatokana na sababu ndogondogo utakazo kuwa nazo na zile utakazozisababisha kwa kipindi hicho ambacho unamuona na kuongea nae na kuufanya mvuto wake kwako upungue au uongezeke, ili mwanamke aonyeshe kupenezwa na wewe inabidi awe na hamasa ya asilimia 51% au juu ya hapo.

Iwapo mwanamke akikuona kwa mara ya kwanza na akapendezwa na muonekano wako na kwa macho yake akakuona ni mtanashati mwenye sura nzuri, basi hapo hamasa yake inakuwa ipo asilimia 70%, ila akikuona umependeza kawaida hapo hamasa yake[mvuto wake] ipo katikati asilimia 50%.

Mwanaume anayekuwa na mvuto kwa mwanamke kwa asilimia 50% ambaye anazijua changamoto na jinsi ya kuwa muungwana na mwanaume kiongozi anaweza kuipandisha hio hamasa ya mwanamke ya asilimia 50% ikaenda juu zaidi, unaweza kuanza kwa kuwa na hamasa kubwa kwa mwanamke ila ikashuka chini zaidi na hapo itakuwia ngumu kumpata maana mvuto wake kwako utakua umepungua pamoja na kuwa na sura nzuri ya kitanashati, na yule aliyeanza na mvuto mdogo akaweza kuipandisha na mwisho wa siku yeye ndo akawa kinara na kuondoka na mtoto.

Kwa mwanaume ambaye mvuto wa mwanamke anaetaka kumtongoza upo chini ya asilimia 45% inabidi awe mbunifu na kama umepiganae hadithi nzuri na ukamfanya acheke na kutabasamu na mwisho wa maongezi mkabadilishana namba za simu basi tumia nafasi yako vizuri pale mnapoacha inakubidi uwahi kumpigia simu ili asije akakusahau na uendelee kupandisha hamasa yake kwako.

Vitu vinavyo ongeza mvuto wa hisia za awali alizonazo mwanamke kufikia kiwango cha kumfanya haamasike kihisia na wewe, ni vitu viwili vikuu kama Udaku Kijiweni  inavyokunyambulishia ifuatavyo,
  • #1, Muonekano wako na utanashati wako;
Sio kwamba kuwa na sura nzuri ndo kutakufanya kila mwanamke avutike na wewe, ila inaongeza kiasi cha mvuto kwa mwanamke kwake, na hii itampa faida zaidi maana mvuto atakaoanza nao wa mwanamke utakuwa wa juu wa asilimia 70% na hii kutamfanya asihangaike sana wakati wa utongozaji, hii haimaanishi ya kuwa hawezi kukataliwa maana muonekano si kitu kikubwa cha kipekee kinachoangaliwa kwenye mvuto wa mwanamke.
  • #2, Jinsi ulivyojitambulisha na maongezi uliyoyaongea;
Kujiamini na kuweza kumfanya mwanamke atabasamu na kufurahia kile unachozungumza na uwepo wako kwa ujumla ndo jambo kuu linaloweza kukufungulia nafasi kubwa ya kukubaliwa kimapenzi, matamanio ndani ya ubongo wa mwanaume yameelekezwa machoni wakati matamanio katika ubongo wa kike yameelekezwa masikioni, ndo maana kumraghai mwanamke ni vyepesi zaidi kuliko kumraghai mwanaume na hupandisha kiwango cha mvuto wa mwanamke kwa hali ya juu sana.
"Zingatia kitu kimoja, mwanamke akivutika na wewe atakuonyesha ishara nyingi za kukusaidia ili umtongoze, hapa ikiwemo kukuangalia kwa macho mazuri, kuongea nawe katika hali nzuri na ya kuvutia huku akicheka na kutabasamu".

 Kuna alama za kuangalia na kujua kipimo cha mvuto[hamasa] kwa mwanamke kabla ya kumtongoza kama kiumeni.com inavyozidi kukuelezea, haya maelezo yananifanya nimkumbuke mjomba wangu anavyosema "Akipendezwa na wewe, atakusaidia kwa kukuonyesha njia ya kumtongoza kwa kukupa ishara".

Ishara nzuri mwanamke anazotoa hamasa ikiwa asilimia 50% kwenda juu;
  • Ukimtabasamia nae anakutabasamia,
  • Anaangalia chini halafu pembeni,
  • Anatoa ishara za mapokeo (anapikicha nywele, kama amevaa jaketi anafungua vishikizo, anaiachia mikono yote huru, anajisogeza karibu).
  • Anapindisha kichwa kidogo,
  • Anaongeza kiasi cha kufumba na kufumbua kope za macho,
  • Ukiongea nae anakuonyesha hali ya kimaongezi.
Ishara mbaya mwanamke anazozitoa hamasa ikiwa chini ya asilimia 40% kushuka chini,
  • Anaangalia pembeni kwa haraka,
  • Hapindishi wala kukichezesha kichwa chake,
  • Hana ishara za mapokeo (anakunja mikono kifuani),
  • Ukiongea naye anakujibu kwa mkato.
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top