Filed Under:
Burudani
on Wednesday, April 13, 2016
Loading...
Home » Posts filed under Burudani
ZARI NDANI YA KANGA MOKO
Kutana Na Picha Za Zari Akiwa Ndani Ya Kanga Moko Ndembe Ndembe Unaweza
Ukasema Kabinti Ka Miaka 18 Ambako Kamepita Tanga Kumbe Ni Mganda.
Filed Under:
Burudani
on Tuesday, February 9, 2016
SHAMSA AMFUNGUKIA NAY WA MITEGO
KARIBUNI wasomaji wetu wa kolamu hii ambayo tumekuwa tukiwaletea wasanii mbalimbali na kufunguka mambo ambayo yamekuwa yakikutatiza, kwanza napenda kuomba radhi kwa kutomleta mwanadada, Riyama Ally kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
Leo hii tunaye staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford ambaye amefunguka mambo mengi ya kisanaa na kimaisha.
Msomaji: Habari dada Shamsa kwanza nikupongeze kwa kazi nzuri lakini ningependa kujua pale unapokumbwa na skendo huwa unajisikiaje au umeshazoea hayo mambo?
Shamsa: Nikiwa kama mzazi huwa najisikia vibaya na bora skendo yenyewe iwe ya kweli ikiwa ya kusingiziwa huwa naumia zaidi.
Msomaji: Eti dada nilisikia unatoka na msanii Emmanuel Elibarik ‘Nay wa Mitengo ‘ mliishia vipi au bado mnaendelea kimyakimya?
Shamsa: Masuala ya Nay tumeshamalizana, kila mtu yupo bize na maisha yake.
Msomaji: Hivi dada maisha yako yapoje baada ya kuachana na baba watoto wako (Dickson) huoni kama mmemuathiri mtoto aliyezoea kupata malezi ya wazazi wote wawili?
Shamsa: Mtoto wangu yupo sawa tu kwa kuwa nampa malezi bora hakuna kilichoharibika.
Msomaji: Wasanii wengi wamekuwa wakilalamika kuchukizwa na baadhi ya
sehemu wanazopangiwa kuigiza, wewe ipi inakupa wakati mgumu?
Shamsa: Kwa upande wangu nafiti kote sina kinachoniwia ugumu.
Msomaji: Unapenda mumeo awe na sifa gani?
Shamsa: (kicheko) awe na hofu ya Mungu, mchapakazi, mwenye upendo na asiwe mtu maarufu.
Shamsa: Kwa upande wangu nafiti kote sina kinachoniwia ugumu.
Msomaji: Unapenda mumeo awe na sifa gani?
Shamsa: (kicheko) awe na hofu ya Mungu, mchapakazi, mwenye upendo na asiwe mtu maarufu.
Msomaji: Ushindani ni mkubwa sokoni bidada, umejipangaje kukabiliana na hilo mwakani?
Shamsa: Nimejipanga ipasavyo kaeni mkao wa kula tu, nakuja na filamu inaitwa Chale Mvuvi na Broken, mtanikubali zaidi.
GPL
Filed Under:
Burudani
on Thursday, December 3, 2015
Mama Diamond Ambana Diamond Kuhusu Uhalali wa Mtoto Latiffah Katika Familia Yao..Mengi Yasemwa Mtaani
Mama wa staa wa muziki Bongo, Sanura Kassim ‘Sandra’.SINEMA limeanza!
Sanura Kassim ‘Sandra’ ni mama mzazi wa ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu
Abdul ‘Diamond’ hivi karibuni anadaiwa kuingia katika figisufigisu na
mwanaye huyo kwa kumuhoji kama kweli Latiffah ‘Tiffah’ ni damu yake kwa
kumzaa na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Amani limenyetishiwa.
Akizungumza na mwandishi wetu Jumatatu ya wiki hii, mmoja wa wanandugu wa Diamond alisema ishu hiyo ilijiri hivi karibuni nyumbani kwa Diamond, Madale jijini Dar ambapo mama na mwana hao walikuwa katika mazungumzo ya kawaida.
Ndipo, mama Diamond alipojikuta akiponyokwa na sentensi hiyo ya kuhoji uhalali wa Tiffah kuwa mtoto wa Diamond kauli ambayo awali ilichukuliwa kama utani wa bibi na mjukuu!
‘Kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.‘Yuda’ huyo wa Diamond, alizidi kusema kuwa, mama huyo alijikuta akimtaka Diamond aachane na wazo la kumhesabu Tiffah kama mwanaye kwani hafanani naye hata kidogo na kwamba ameuziwa mbuzi kwenye gunia kama si mfuko wa chumvi!
“Diamond alibadilika sura na kumtaka mama yake aachane na utani wa namna hiyo. Lakini mama alisisitiza kuwa si utani bali ni ukweli ambao amekuwa akivizia autoe kwa njia gani, hivyo siku hiyo aliona ndiyo muda mwafaka wa kutoa la moyoni.
“Kaka (mwandishi), ilibidi Diamond aondoke pale maana anampenda sana mama yake na huwa hapendi kumuudhi. Hivyo ili kuepusha mambo mengine, aliamua kwenda chumbani kwake. Lakini mama haikuishia hapo, alimfuata na kugonga mlango huku akisisitiza juu ya suala hilo.
“Sasa ninavyoongea na wewe, Diamond ana kama siku mbili au tatu hajaonekana nyumbani, anamkwepa mama yake maana naye amekomaa akimtaka mwanaye amuweke wazi anachofahamu kuhusu uhalali wa Tiffah kuwa damu yake,” alisema mtoa habari huyo ambaye ombi lake kubwa kwa mwandishi wetu ni hifadhi ya jina lake ili kuepuka kuonekana ni ‘kikulacho’ cha familia hiyo.
Kama kawaida ya gazeti hili, ambalo ni mashine bab’kubwa kwa habari za ndani za mastaa wa Bongo, kujiridhisha na kila habari kabla ya kuichapisha na kuipeleka kwa msomaji, ‘kiranja mkuu’ wa dawati alimtafuta mama huyo kupitia simu yake ya mkononi ambapo aliposomewa madai hayo mpaka mwisho, aliishia kusema:
“Jamani, kwanza mimi naumwa! Sitaki kabisa maswali magumu kiasi hicho cha kuumiza kichwa, niacheni na familia yangu,” (akakata simu na kuizima).
Amani lilimsaka Diamond mwenyewe kwa njia ya simu kwa kumtumia meseji na ilimfikia (deliva) lakini hakujibu kitu.
Agosti mwaka huu, Zari alimzalia Diamond mtoto huyo na kuibua hisia tofauti kutoka kwa wadau, hasa wa nchini Uganda ambako Zari ana asili nako, wakidai mtoto huyo si wa Diamond.
Hata hivyo, Diamod amekuwa akisema Tiffah ni mtoto wake na ana uhakika na hilo.

on
Jacqueline Wolper Awapa Wadada wa Mjini za Uso Aeleza Jinsi Anavyompenda Mpenzi Wake...
Muigizaji wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper baada ya kuvalishwa pete
ya uchumba na mpenzi wake miezi miwili iliyopita, jana amemwandikia
ujumbe mzuri wa siku yake ya kuzaliwa kuonesha jinsi anavyompenda.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Wolper ameandika: “100% Comfort zone… Who else understands and accepts all of me? Who else can I count on for comfort and security? Who else can I call at any hour of the day or night? Who else rallies behind me in my good decisions and are there to help me through the consequences of the bad ones? Not many people are as blessed as I am with someone like you in their lives. I bless the heavens for the wonderful gift of you my PUTIN.

Thanks for completing me.. HAPPY BIRTHDAY MY ROCK”
Katika hatua nyingine Wolper aliweka post nyingine na kuandika: “Nasikia mjini kuna nyakunyaku sasa jamani mtu mzima unanyakuliwaje? me nasema ukininyakulia nikakuachia labda kama simpendi lakini kama nimempenda anyakuliwi mtu ubabisha jaribu shuwainiiii ….na nyie wadada wamjini acheni habari zakuibiana mabwana na kutangazana insta kma umeshindwa kumuifadh bwanaako vzuri akanyakuliwa basi tulia tulii… tafuta mnyonge nawe umnyakulie syo maneno kila sku tukitagiwa kwenye umbea ukisoma ni mambo ya nyaku nyaku sasa we ulinyakuliwa ulikua wapi? paka unyakuliwe nyakuliwa danga maana kila mtua analitaka hilo danga lkn usinyakuliwe bwana maana paking mjini shida… kila mtu ataki kua side chick sasa vipi ulegee unanyakuliwa tuu…so wapenzi wangu nimeongea yote haya kwa sababu ya nyie mashushu wakunitag kwenye umbea wamabwana kunyakuliwa mwanamke kwanza anayegombania bwana me naona soko litakua limeshuka ndo maana unalalamika sawa inauma kwakua umemzoea lkn aina sababu yakugombana kama mwenzio kakuzidi we kata mti panda mti ananyakuliwa nawenyakua maisha yaendelee..unalilia ndani nn nakutoa siri zako kwa mashoga wakat mashoga wenyewe wanafk tuu mfyuuu …nyakua nikunyakulie…mada yaleo hyo haya wakunyakua nakunyakuliwa tiririkeni hapa.”
Filed Under:
Burudani
on Thursday, November 26, 2015
WEMA ,KAJALA WAAMBIWA WAACHE UTOTO LIVE
KWENU warembo wa Bongo Movies, Wema
Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja. Habari zenu binafsi? Bila shaka ni
wazima wa afya na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku. Kitambo
kidogo sijawaona lakini naamini pumzi ya bure mnaendelea kuivuta ndiyo
maana nasikia matukio yenu kwenye vyombo vya habari.
Mkitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima.
Namshukuru Mungu naendelea na shughuli zangu kama kawaida. Mungu ni
mwema sana, anaendelea kubariki kazi ya mikono yangu, namuomba yeye
aendelee kunibariki zaidi na zaidi.
Dhumuni la kuwaandikia barua hii ni
kutaka kuwakumbusha kwamba nyinyi kwa sasa ni watu wazima. Umri wenu
unatosha kabisa kusema haufanani na yale matukio yasiyokuwa na kichwa
wala miguu. Mara kadhaa nimewahi kuwaambia, hata yale mashindano yenu ya
kumwaga fedha ukumbini, nyakati hizi si zake.
Mambo ya kuibiana mabwana kama
yalishatokea, itoshe sasa kusema ulikuwa ni ujana. Kwa kuwa ilitokea,
hakuna namna zaidi ya kuyasahau na kuchapakazi. Soko lenu la filamu bado
haliridhishi, lakini mnapaswa kukomaa ili angalau mtengeneze fedha
kupitia kazi zenu na si kuhongwa.
Binafsi sikufurahishwa na tukio lenu la
kukutana ukumbini na kuzinguana mbele ya kadamnasi lililoripotiwa wiki
iliyopita na magazeti Pendwa. Lilikuwa tukio linaloonesha kwamba bado
hamjakua kitu ambacho sitaki kukiamini.
Kama nilivyotangulia kusema hapo awali,
huu siyo wakati wa nyinyi kuoneshana ubabe wa fedha. Kwamba eti kwa kuwa
mwenzako kaenda kutunza msanii jukwaani, na wewe lazima utunze nyingi
zaidi ili uonekane wewe ni zaidi.
Ndugu zangu, bahati nzuri maisha yetu
tunajuana. Kwa kiasi kikubwa natambua maisha ya wasanii wetu nchini
hususan warembo. Wengi wenu hamtegemei sanaa kuendesha maisha yenu.
Wengi mnategemea mapedeshee au ‘mabwana’ kutamba mjini.
Niwashauri hizo fedha mnazozipata ni
bora mngewekeza kwenye sanaa yenu. Mkajizatiti vizuri ili ziweze
kuzaliana. Mnapigana ili iweje? Mnatambiana mbele za watu inawasaidia
nini. Wenzenu wanapigana siku hizi wanaingiza fedha.
Nyinyi kazi yenu si ubondia. Kazi yenu
ni uigizaji. Igizeni kwelikweli na Watanzania wawaunge mkono kwa kununua
kazi zenu. Sanaa yenu ina changamoto nyingi, mnawezaje kuzishughulikia
ikiwa hamna umoja.
Mtawezaje kutatua changamoto hizo ikiwa
hamna upendo kati yenu? Si rahisi kutatua changamoto hizo wakati mna
chuki. Ili mfanikiwe, mnahitaji kushirikiana. Shirikianeni ili muweze
kuisogeza sanaa mbele, acheni vita ya kipuuzi mnayoendelea kuifanya.
Mkizingatia hayo niliyowaambia, hakika
tutaona mabadiliko kwenu na sanaa kwa ujumla. Nina imani nyinyi ni watu
wazima na mtajipanga upya na mtaanza kuchapa kazi kama kauli mbiu ya
rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli,
‘Hapa Kazi Tu’.
Ni mimi mtu wenu,
Erick Evarist.
KWA NAFASI ZA KAZI BOFYA HAPA >>>>>>>
KWA WANAFUNZI PATA MATERIAL HAPA>>>>>>>>>>>
Filed Under:
Burudani
on Tuesday, November 24, 2015
ROSE NDAUKA:NAAPA SITAZAA NJE YA NDOA TENA
Akipiga stori na paparazi wetu, Rose alisema anajua alifanya kosa kujiachia na kubeba mimba nje ya ndoa lakini sasa amejifunza na hawezi kurudia kosa hilo.
“Sasa hivi niko makini kuliko mnavyofikiria, najizuia sana kuhakikisha sizai tena kabla ya kuingia kwenye ndoa. Yaani nitakuwa ni mwenye amani endapo mtoto wangu wa pili nitamzaa nikiwa ni mke wa mtu, Mungu anisaidie katika hilo,” alisema Rose.
Filed Under:
Burudani
on Thursday, November 19, 2015
BLACK GIRLS FASHION TREND-WELL CURVED
The Red Mini Skirt and Zebra Top Outfits Make it perfect, I just Fall in Love with the shoes, She looks awsome
Filed Under:
Burudani
on Wednesday, November 18, 2015
KUMBE POWER BANK SI LOLOTE
Tena kama babu yako mzaa baba au mama
yupo hai ukimwelezea matatizo yanayokukabili mjini, kama ni Wakristo
watakuombea na kama ni Waislamu watafanya dua.
Pia kama ni wapagani watakufanyia mambo
ya jadi au kukupeleka kwa mtaalam ili mjukuu wao uondokane na mikosi
inayokufanya mambo yako yasikuendee vizuri, kisha watakwambia rudi mjini
kila kitu kitakwenda sawa.
Basi siku ya kwanza unapofika kijijini
ni salamu na kutembelea ndugu, japo unapewa masharti nani umtembelee na
nani usikanyage kwake, hii inatokana na wanakijiji kujuana vizuri, kuwa
kuna watu wengine ukiwasalimu tu na kama hujajitengeneza basi ndo ujue
mikosi inakufuatia.
Siku ya tatu ndiyo ikawa ya kuanza
shughuli za kujitengeneza, maana baada ya kuwaambia wazee kuwa mjini
nafanya kazi lakini hela sijui inaenda wapi, ikakubalika lazima kuna
mkono wa mtu.
Pia baada ya kulinganishwa na wenzangu
ambao tulimaliza la saba wote, ikaonekana mimi tu ndiyo sina kitu, hata
mke wala mtoto sina, ni wazi kulikuwa na kitu kinaziba nyota yangu.
Baada ya wazazi wangu ambao wanapenda
sana mambo ya kishirikina kushauriana ni mtaalam yupi angefaa kuniwekea
mambo yangu sawa, wakakubaliana wanipeleke kwa mmoja aliyekuwa anaishi
kijiji cha jirani.
Basi nikapelekwa kwa mtaalam huyo
ambaye alipoangalia nyota ikagunduliwa kuwa kumbe pale kazini kwangu
kuna jamaa wamechafua nyota yangu.
Hili liliniuma sana, mi mpiga debe
stendi ya mabasi, washkaji wote nilijua rafiki zangu kumbe kuna wabaya
wangu nacheka nao palepale kijiweni, dah roho iliniuma sana, nilimuomba
mtaalam kama ikiwezekana mbaya wangu akutwe na mabaya zaidi, lakini
mtaalam akasema hiyo siyo lazima, ila nikifika tu nitamjua mbaya wangu.
Basi mtaalam akanitengeneza, kisawasawa,
chale mwili mzima, akanipa na hirizi kubwa, siku hizi watoto wa mjini
wanaiita Pawa Benki, nikaruhusiwa kurudi kazini.
Baba akalipa mbuzi mweusi mwenye doa
jeupe nikaruhusiwa kurudi mjini. Kiukweli wakati narudi furaha ilikuwa
imenijaa moyoni, maana niliambiwa mbaya wangu nitamjua na
atakayenijaribu kila kitu kitamrudia mwenyewe.
Leo nimemaliza mwezi, mbaya wangu
sijamjua, na hela ngumu kama mwanzo. Nafikiria kurudi kijijini
tukanyang’anye yule mbuzi nimuuze, japo nipate hela ya siku mbili tatu.
Filed Under:
Burudani
on
NIKKI WA PILI KUACHIA KICHUPA CHA BABA SWALEHE
MWANA Hip Hop mahiri
nchini, Nikki wa Pili ametangaza rasmi kuwa anatarajia kuachia ‘kichupa’
cha ngoma yake gumzo kwa sasa mitaani, Baba Swalehe mwishoni mwa mwezi
Desemba, mwaka huu.
Nikki au Genius ameliambia Championi Jumatano kuhusiana na ishu hiyo
katika mahojiano maalum ambapo alifunguka kuwa tayari ameshaanza
maandalizi ya awali ya ‘ku-shoot’ video ya wimbo huo ingawa hajajua
itafanyika nchi gani na atalifahamu hilo mapema baada ya kumaliza
kupanga bajeti zake.
Aidha,
aligusia pia kuhusiana na kushangazwa na kufurahia mapokeo ya wimbo huo
ulivyovunja rekodi ya nyimbo zake zote za nyuma na kugeuka gumzo kila
kona ya jiji.
“Nimepanga kuanza ku-shoot mwanzoni mwa Desemba na nitaichia mwishoni
mwa mwezi huo, sijajua nitafanyia wapi, tukimaliza zoezi la kupanga
bajeti nafikiri nitakuwa nishafahamu nitafanya kazi na kina nani na
mahala gani maana kila director anajulikana bei zake na mazingira yake.
“Lakini aisee mapokezi ya huu wimbo yamekuwa makubwa kwa kipindi
kifupi mno, tofauti na nyimbo zangu nyingine za nyuma maana ‘interview’
zimekuwa nyingi, maofisini, mitaani, kila kona mijadala ni Baba
Swalehe,” alisema Nikki ambaye ni memba wa Kundi la Weusi.
Filed Under:
Burudani
on
LUTENI KARAMA:NIMEAMUA KUJA KIVINGINE
Mwandishi wetu
MKONGWE katika muziki
wa Bongo Fleva, Luteni Karama amefungukia kolabo aliyoachia hivi
karibuni akiwa na staa wa muziki kutoka Ufaransa, Jerry Julian kuwa
imemrudisha upya kwenye chati ya muziki huo.
Akizungumza na Amani, Karama alisema
kuwa ngoma hiyo inayojulikana kwa jina la The Way I Feel imetokea
kupendwa na mashabiki wake wengi na kudhihirisha hilo imepakuliwa zaidi
ya mara laki moja kwenye mitandao mbalimbali hususan Youtube kwa muda
mfupi tu.
“Nimeamua kuja kivingine. Si unajua siku
hizi gemu imebadilika sana lazima ujiongeze na kuangalia mwelekeo kabla
hujafanya chochote, ndiyo maana nikaamua kumshirikisha Jerry Julian
ambaye kishafanya kazi kwenye majukwaa makubwa ya Ulaya kama Paris,
Amsterdam, London na kwingineko,” alisema Karama.
Filed Under:
Burudani
on
JEURI YA JIDE SASA KWISHAAA....VITEGA UCHUMI VYAKE SASA VYASIMAMA
MAISHA bwana! Kuna madai kwamba, nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Judith
Wambura Mbibo ‘Jide’ ambaye ni ‘mtalaka’ wa Mtangazaji Gardner G.
Habashi ‘Kapteni’ kwa sasa si kama yule wa zamani akisemekana kuishiwa
‘mpunga’ kiasi cha mambo yake kwenda halijojo lakini kisa kikuu
kikitajwa ni kitendo cha ndoa yao kuparanganyika.
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, Jide kwa sasa hana zile mbwembwe zake za kuonekana mjini akitanua na gari la kifahari kwenye maeneo mbalimbali ya kujidai kwa vile miradi yake mingi imefunga breki.
MGAHAWA, BENDI VYATAJWA
“Ninachowaambia ni kweli kabisa jamani! Jide wa sasa si yule wa enzi zile. Nikishibisha maneno yangu, Jide ameshindwa kuuendeleza Mgahawa wa Nyumbani Lounge uliopo Kinondoni mpaka ukafulia, hilo mnalijua na kwa sasa mgahawa unamilikiwa na mfanyabiashara mwingine na ameupa jina lingine.
“Lakini ukiachana na mgahawa, wewe jiulize, mara ya mwisho kuisikia bendi ya Jide ya Machozi ikiwa jukwaani ni lini? Pia bendi imesimama! Yaani mambo yake hayaendi sawasawa kama awali,” kilisema chanzo hicho.
GARDNER KACHANGIA?
Chanzo hicho kiliendelea kuweka wazi kuwa, baadhi ya marafiki wa zamani wa familia ya Jide na Gardner wamekuwa wakidai kwamba, kitendo cha wawili hao kutengana kiliondoa sehemu kubwa ya nguvu iliyokuwa ikisaidia kwenye biashara.
“Unajua Gardner licha ya kuwa mumewe, lakini pia alikuwa meneja wake. Ndiye aliyekuwa akisimamia Bendi ya Machozi na pia alikuwa akisimamia mradi ule wa mgahawa. Si unajua kwa mambo kama haya, mchango wa Gardner ulikuwa mkubwa.
“Sasa kuachana kwao, automatiki Gardner akawa si meneja wa Jide tena, matokeo yake Jide akashindwa kusimamia miradi yake mwenyewe, ndiyo haya unayoyaona sasa,” kilisema chanzo.
ATHARI ZA GARDNER ZIMEJIFICHA
Kwa upande wake, Gardner anatajwa kuendelea na maisha yake vizuri kwani mpaka sasa ni Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha E FM cha jijini Dar akionekana kutopigika sana na athari za kutengana kwao.
JIDE ALIVYOTAFUTWA
Risasi Jumatano lilimsaka Jide kwa nguvu zake zote ili kumpa nafasi ya kufafanua madai hayo lakini kwa simu yake ya mkononi hakuwa hewani.
Risasi Jumatano lilifunga safari mpaka kwenye makazi anayodaiwa kuishi hivi sasa maeneo ya Masaki, Dar lakini nyumba hiyo ilionekana kuwa kimya sana.
Baadhi ya majirani walisema hawajamuona kwa siku kadhaa sasa huku wengine wakisema wanaamini amesafiri nje ya nchi.
“Mh! Jideee… Jideee! Kwa kweli sijui kama yupo hapa nchini. Inawezekana yupo lakini pia inawezekana hayupo. Mi binafsi sijamwona siku nyingi,” alisema jirani mmoja bila kujitambulisha jina.
GARDNER AOMBA UDHURU
Kwa upande wake, Gardner alipopigiwa simu na kuulizwa kuhusu madai hayo aliomba udhuru wa dakika kadhaa akisema atapiga yeye ingawa hakufanya hivyo.
Kumbukumbu zinaonesha kuwa, mara zote ambazo Gardner amekuwa akipigiwa simu na waandishi wetu na kuombwa kufafanua kuhusu tuhuma kadhaa, amekuwa akijibu atapiga yeye baadaye au kusema hana la kuchangia!!
MTABIRI ATIA NENO ZITO
Hata hivyo, katika moja ya elimu zake za nyota, mtabiri maarufu nchini ambaye pia ni mtoto wa aliyekuwa mnajimu maarufu Afrika Mashariki, marehemu Shehe Yahya Hussein, Maalim Hassan alipoulizwa kuhusu maendeleo ya Jide alisema kuwa, kufifia kwake kunatokana na kutembelea nyota ya Gardner.
“Yule alikuwa juu kwa sababu alikuwa akitembelea nyota ya yule aliyekuwa mume wake. Sasa kwa kuwa waliachana, lazima afifie kwa vile nyota ya yule ilikuwa kali kuliko yeye,” alisema Maalim Hassan katika mahojiano maalum nyumbani kwake, jijini Dar es Salaam.
Source:Globalpublishers

BAADA YA ALI KIBA KUKOSA TUZO ZA AFRIMA UONGOZI WA DIAMOND WATOA KAULI NZITO
Baada ya Alikiba kupost ujumbe katika Instagram akidai kuwepo na mambo
yanayoendelea nyuma ya pazia kwenye muziki wake na wengi kutafsiri
amelalamikia kukosa tuzo za Afrima, uongozi wa Diamond aliyeshinda tuzo
tatu umezungumza.Akizungumza katika pindi cha XXL cha Clouds FM, mmoja
kati ya mameneja wa Diamond, Babu Tale alisema walisikitishwa na ujumbe
huo.“Mimi naona asiyekubali kushindwa sio mshindani,” alisema. “Hata
sisi tumeshawahi kuingia kwenye tuzo ambazo na yeye aliongea maneno hayo
alikuwepo na akashinda na hakuna mtu yeyote aliongea sijui mmenunua
tuzo. Mimi nilijua mashabiki ndio wanaongea mpaka msanii anapost kitu
kama kile nikahisi labda kuna mtu amehack akaunti yake. Kwahiyo
nilivyoona vile nikamhukumu sio mshindani,” alisema Tale.
Hata hivyo Tale alisema baada ya kufuta kauli hiyo na kuzungumzia kauli hiyo aligundua huenda alishinikizwa na mashabiki wake.
“Lakini baadaye baada ya kuona ameongea vizuri, nikagundua sometimes mtu anaweza kupaniki kwa ajili ya mashabiki wanaoongea. Lakini mwisho wa siku tunatakiwa tukae meza moja ili tusukume muziki wetu wa Tanzania. Tukiangalia line up ya muziki wa Afrika sasa hivi tupo namba mbili, tunakwenda kwenye namba 1,” aliongeza.
Hata huvyo Alikiba aliifuta post hiyo na kudai kuwa hakuandika kwa sababu alikosa tuzo.

Alikiba Anahisi Kafanyiwa Mchezo Mchafu Kwenye Tuzo za AFRIMA Baada ya Kukosa Zote Alizokuwa Ametajwa afunguka hivii...
Muimbaji huyo alikuwa ametajwa kuwania vipengele vinne kwenye tuzo za Afrima zilizotolewa Jumapili hii jijini Lagos, Nigeria.
Kiba alitajwa kuwania Best Male Artist East Africa, Artist of The Year, Song of the Year na Song Writer Of The Year In Africa. Tuzo tatu kati ya hizi zimechukuliwa na Diamond waliyekuwa wametajwa pamoja.
Kupitia post aliyoweka kwenye Instagram, Alikiba amedai kuwa anaamini ‘kuna watu’ wanaotumia fedha kuhakikisha anakosa tuzo.
“Asanteni sana najua mmepiga kura sana lakini nilikuja kugundua baada ya kufuatilia kuwa kuna mambo yanaendelea ya watu wanadiriki hata kupoteza pesa zao kwaajili yangu ila nawaomba fans msinielewe vibaya I will always be there for you #hapakazitu #kingkiba,” ameandika Alikiba.
Kauli yake imepokelewa kwa hisia tofauti na mashabiki wa muziki.

on Monday, November 16, 2015
ROMA MKATOLIKI AWAPAGAISHA WANAFUNZI WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA ,KANGE,MJINI TANGA
Msanii
wa kizazi kipya Roma Mkatoliki akiwatumbuiza wanafunzi wa chuo cha
Utumishi wa Umma,Kange, mjini Tanga,katika uzinduzi wa kifurushi cha
University pack kutoka Tigo kilichoboreshwa.
Filed Under:
Burudani
on
LILY AND UBI WEDDING
NA MAIDS WAKE
UNYAYO
BOUQUET
KODAK MOMENTS WITH THE MAID OF HONOR AND BRIDESMAIDS
FLOWER GIRLS IN PINK
THE GROOM AND GROOMSMEN
#SELFIE
THE WAITING MAANA HAPA WASUBIRI NAKUOMBA MUNGU BIBI HARUSI ASIKIMBIE
WALKING DOWN THE ISLE
MWANAMUZIKI IYANYA NDO ALIKUWA THE BEST MAN
BE BLESSED
OFFICIALLY MR & MRS
KODAK MOMENTS
WATU WANAJUA POZI WAMEJIPANGA VIZURI HASWAAA
MAHARUSI NA GROOMSMEN
WALOVAA BLACK NA THE GROOM A BEST MAN WAKE TU.
THE NEWLY WED COUPLE NA MAIDS
THE COUPLE NA BEST MAN NA MAID OF HONOR
WATU NA POZI ZAO
DECOR
WALIBADILI NGUO HUWA TUMEZOEA NGUO
WANAZOTOKA NAZO KANISANI WANAINGIA NAZO UKUMBINI BUT HAWA WALICHANGA
WAKAVAA KI TRADITIONAL FLANI HIVI AMAZING.
MWENDO WA KU DANCE
MAIDS NA GROOMSMEN NAO WALIONYESHA WHAT THEY GOT KWA DANCE FLOOR
IYANYA ALIKUWA THE BEST MAN NA ALIWAIMBIA PIA MAHARUSI.
BIBI HARUSI ALICHANGE KWA DRESS NUMBER TWO.
DRESS NUMBER THREE KWA BIBI HARUSI
WAALIKWA.
WAALIKWA WALIPOKUWA WANAWASILI UKUMBINI
Filed Under:
Burudani
on