Loading...
Home » Posts filed under NAY WA MITEGO
BARUA YA WAZI YA OMMY DIMPOZ KWENDA KWA NAY WA MITEGO BAADA YA KUMHUSISHA NA USHOGA
Barua kutoka kwa @ommydimpoz kwenda kwa Nay wa mitego baada ya Nay wa Mitego kumuhusisha na Ushoga katika nyimbo yake mpya...
"Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume mwenye tabia za kike kama zako inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me. Hiyo video nimekuwekea hapo juu ni kukuonyesha kuwa mimi na wewe Ligi zetu hazifanani vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya kuja kufuata dodoki nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic Maana katika hao mabebi mama wako kuna mmoja nilishapitaga nae Uliza vizuri atakwambia kama jogoo anawika au vipi Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy #ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema" Ommy

Filed Under:
NAY WA MITEGO
on
NI NAY WA MITEGO TENA"Wema Sepetu Una Mimba Kweli au Unatafuta Kiki"
Nay Ameachia Wimbo Mpya na kusema kuwa aliyoyazungumza humo ni mambo ambayo yapo na huenda tunayajua au tumesha yasikia mitaani.
Katika moja ya mistari yake amemzungumzia Rais John Pombe Magufuli na kusema kuwa kama watu watamzingua avunje mpaka Ikulu
Miongoni mwa vijembe vinavyopatikana kwenye wimbo huo ni;
Msanii Ray kujifanya Mkongo kwa kununulia mkorogo fedha zinazotokana na mauzo ya movie zake na kuishi kwao hadi sasa, Bongo Movie imekufa kufikia hatua wasanii wa kike wa filamu kutaka kuimba km snura na shilole, Niva kuishi kwa mademu na huku akimiliki gari ya M10 wakati hana getto, wanafunzi wa chuo kuishi maisha ya anasa na kupoteza dhana ya usomi. Wadada wengi wa mjini na kutovaa chup**, biashara?
Hakuishia hapo, alihamia kwa BASATA, kwa kuwashangaa wanavyoshindwa kufanya kazi yao kwa weledi na kuishia kuwafungia wasanii nyimbo bila kujua ugumu wanaopitia..
Pia, akaendelea na wadananda kwa kumtaja Shetta kuwa anaringishia gari ya kifahari aliyohongwa na Chief Kiumbe kwa kujitapa 'My new ride', Ommy Dimpoz kuhusishwa na Ushoga kitaani, DJ Choka kuwa bize na bata bila kujali familia huku hana hata godoro la kulalia.
Katika wimbo huo Nay wa Mitego hajamuacha Wema Sepetu na alikuwa na haya kusema juu yake " Wema Sepetu una mimba kweli kweli au unatafuta kiki za msimu, miezi tisa si mingi isije ikakugharimu, na anamshauri aangalie umri unaenda asiendekeze kiki kwani mwishowe ataitafuta Kiki hadi kwa FID Q. "
Hata hivyo baada ya Nay wa Mitego kuachia wimbo huo amesema maneno haya "Hii sio Vita japo inaweza kua vita. Ni muziki mzuri na mtamu sana wenye maneno flani ya wazi tu ata wewe unayajua.! #ShikaAdabuYako nitaenda likizo kidogo baada ya hii Ngoma kuanza kuchezwa." Aliandika Nay wa Mitego

"Mliopanga kunishtaki mkanishtaki hata kwa Magu na bado nitawapa fact, si wamekuchagua wenyewe Magufuli waonyeshe maujuzi vunja mpaka Ikulu wakikuletea upuuzi, sifanyi bifu mimi na watoto wa juzi" Asema Nay