Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

LIVE toka Jangwani:Utamu wa Ngoma uingie Ucheze ona kazi hiyo



Wakati mwingine si vibaya kupata vionjo hivi vilivyokuwa vinaendelea kwa kijana huyu akikata uno kwa raha zake hii ni Jangwani leo hii.


Kaazii kwenu kwenu mie kwa raha zangu..wimbo ulikuwa ukichagizwa kuwa ''CCM imekaa vizuri'' akisindikizwa kwa vingoma cheki taswira chini.


Burudani hizo zikiwa zimeshamiri hapo Jangwani.


Vijana wakipata burudani huku wengine wakipuliza vuvuzela kuashiria furaha walizokuwa nazo katika mkutano wa hadhara hii ni Jangwani Live.


Hizo ndizo burudani zilizokuwapo Viwanja vya Jangwani ambapo kila aina ya mbwembwe zilikuwapo kama uonavyo vijana hao ambao walikuwa wakizunguka huku wakicheza ngoma hiyo ya asili ambayo ni ya wenyeji wa maeneo ya Pwani.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top