Nami nijitokeze japo kuwapongezeni ngugu zangu mliopewa mzigo mzito wa kuiongoza jumuiya hii ili ifike kule wote tunapoota ifike yaani kwenye mafanikio.
Pia niwape pole wote walioshindwa kwa kuwapongeza kwa kujitokeza kugombea nafasi hizo.
Ni tumaini langu kuwa watajindaa vizuri kwa chaguzi zinazo kuja pia nimpongezi huyu mshindi wa nembo ya jumuiya kwa kweli alistahili kazi nzuri.
NAsema Hongereni sana tunasubiri kwa hamu mikakati yenu.