Michezo ya olympiki imeisha kwa madaha makubwa kwa taifa mwenyeji China kuidhihirishia dunia kuwa tupo.Michezo ya aina yake ambayo inaelezewa kuwa haijawahi tokea.Haya nasi tulikuwa huko kama washiriki wengine lakini tumerudi kama tulivyoondoka.
Walienda kutuwakilisha wanarudi mikono mitupu,Du...Aibu lakini ndio hivyo.Si walienda kutaliii............
Loading...
2 maoni
Wamekuja na raba mpya,simu na wamefaidika kwa kuangalia maghorofa.Imeshapita hiyo kaka
ReplyInatia aibu sana.
Duu...umenikuna tehe..tehe..tehe.
ReplyKumbe walifuata hivyo