Tuko mwaka muhimu sana kwa bara letu la Afrika kwa kuweza kuandaa Kombe la Dunia ambapo nchi ya Afrika Ya Kusini(SAUZI) ikiwa ndio mwenyeji wa Michuano hiyo.
NI fahari yetu wote waafrika kwa michuano mikubwa kama hii kuwa hapa Afrika.
Ni hapo Juni 11 kipenga kitapulizwa ambapo bara zima la Afrika na ulimwengu mzima utakaposhuhudia kipute hicho.
Lakini mashindano hayo yamekuwa yakipingwa na baadhi ya watu kuwa si salama kwa kombe hili kufanyikia sauzi.Sababu zao ni kukithiri kwa vitendo vya kihalifu.Ukiangalia hayo yote ni kwa kuwa ni bara letu la Afrika kupewa nafasi kuandaa kombe hili.
Huu ni muda muafaka kwa wenzetu wa bondeni kuhakikisha Mashindano haya yannoga ili watu hao wachache waone haya.
Twende sauzi tukashangilie Kombe la Dunia wakati wakali kama Eto'o,Drogba wakiwaonyesha kuwa tunaweza.
Msome Rais wa FIFA akitema cheche hapa chini..
-------------------------- -------------------------- ------------------------
Fifa President Sepp Blatter blasts South Africa critics
Blatter has hit back at critics of South Africa hosting the World Cup
Fifa president Sepp Blatter has hit back at critics of South Africa hosting the World Cup.
Bayern Munich president Uli Hoeness has said awarding the tournament to South Africa was "the biggest wrong decision" Fifa has made.
But Blatter says these comments mask a disrespectful prejudice.
"It's an anti-Africa prejudice. There is still in the so-called 'old world' a feeling that why the hell should Africa organise a World Cup," Blatter said.
Hull manager Phil Brown has previously said the terrorist attack on the Togo team bus in Angola which killed two members of the support staff put a question mark against this summer's finals.
But Blatter said: "I think it's a nonsense to combine what has happened in Angola, a terrorist attack for political reasons, and mix it up with the World Cup in South Africa.
"In Germany people like Uli Hoeness and also representatives of the professional leagues are saying we should not go there.
"But every year 11 million tourists go to South Africa and nobody says they should not go there.
"Colonialists over the past 100 years have gone to Africa and taken out all the best things, and now they are taking all the best footballers. There's no respect."
Africa's first ever World Cup kicks off in Johannesburg on 11 June