


Maeneo ya Bungoni mtaa wa Biterego Bar maji yakiwa yamejaa pomoni hiyo jana(3/8/2010) majira ya mchana baada ya mvua kidogo kunyesha.
Ilikuwa ni kero kwa wenye nyumba pembeni kwani maji yalikuwa yanaingia mpaka ndani ya nyomba hizo pembezoni mwa barabara.