Mbio au hekaheka za kampeni uchaguzi mkuu 2010 umeingia patamu huku kila mgombea akija kwa staili tofauti kama mabango ya mgombea ubunge Jimbo la Ubungo Ndugu John Mnyika akija kwa kuwaomba watu wamchangie ili aweze kushinda kiti hicho Jimbo la Ubungo.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Wednesday, September 8, 2010