Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Dr.Willibrod Slaa ameanza kampeni yake Mkoani Shinyanga akiwa na chopa yake

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wananchi wa Kwediboma, wilayani Kilindi,Tanga jana.