Loading...
Jionee tofauti ya Ma First Lady !!
First Lady akiwa tayri kuupokea mpira toka kwa ROGER GOODELL aliyewahi kuwa kocha wa mwaka wa NFL na TONY DUNGY akionekana kwa mbali..
Wakiwa makini na kinachofuata
Tabasamu kama kawaida halikosekana usoni pake,akinyoosha mkono kupokea pasi
Hapa akionekana akiwa makini na akifanyacho kiakili. Hata majukumu ya kifamilia na kitaifa First Lady hutakiwa kuwa makini muda wote.
Akionekana kama mchezaji mzoefu hata mwili ukitoa tafsiri hiyo.
Hata hapo yumo akiruka jumps hatari
Akiruka kichura kwa kwenda mbele akionyesha namna alivyo mwepesi
Kwenye mbio humkosi pia hapa akipimana ubavu na kijana hapa ....
Hapa wakipongezana baada ya kumaliza mchezo huo huku jasho likimtoka mwili mzima baada kuuweka mwili safi.
Tukirudi Home/Afrika hapo ni usingizi tu mwanzo mwisho..South African 1st/2nd/3rd Ladies wakiuchapa usingizi kwenye shughuli mojawapo ya kitaifa.
Picha kwa Hisani ya g sengo
2 maoni
Kaka, hii chiboko, sidhani wa kwetu huku wanaweza cheza hata mdako labda kombolela.
ReplyNi la ukweli mkuu,maana tunawaona kwenye warsha na makongamano nothing more.Tuige basi na hilo zuri na ni mfano kwa wananchi wanapokuona unafanya mazoezi.
Reply