Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Ni Tembo na Mamba !!!


Mara huyo ..!! Mamba akining'inia kwenye mkonga wa Tembo baada ya kumdaka akinywa majina hivyo kuzua sintofahamu hapo kati ya wawili hao..

Mamba kawa mbishi na Tembo nae hataki ingia ndai ya maji na kusababisha vita ya kuvutana kwa dakika kadhaa hapo kila mmoja akijivunia mazingira yake..Tembo nchi kavu na Mamba maji.

...Isiwe tabu ..huyoo Tembo akamburuza Mamba nje ya maji na kusepa nae huku akiwa kaning'inia kwenye mkonge wake bila kuachia.
Hayo yalitokea huko Kusini mwa Zambia katika mbuga za Luangwa.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top