
Ujumbe huo....Jamaa ana ujumbe murua kabisa.Anapigania mkate wa mwanae na mjukuu wake pia bila hata kurusha jiwe.Wengine hawayataki haya wanasema hatuna utamaduni huo sie ni funika kombe mwanaharamu apite.

Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron akipasha au akifanya mazoezi.