Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

TP Mazembe yafanya kweli !


Mulota Kabangu wa TP Mazembe akishangilia baada ya kufunga goli la kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Internacional ya Brazil .


Wachezaji wa Mazembe wakisherehekea goli la Kaluyituka mwenye jezi namba 15

Mashabiki hao wakiwashangilia TP Mazembe Mabingwa wa Afrika.

Golikipa wa TP Mazembe na wachezaji wenzake wakishangilia ushindi walioupata wa mabao 2-0 katika mchezo wa Nusu Fainali wa vilabu bingwa wa mabara dhidi ya Internacional Sport Club ya Brazil huko Abu Dhabi.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top