
The Great Kanumba akifurahia jambo na Rais kikwete

Odama nae pia akimsalimu Rais Kikwete.

Jack Wolper na Rais Kikwete
Picha zikiwaonyesha wasanii wa Filamu nchini ambao walikutana na Rais kikwete huko Dodoma na kupata nae picha za ukumbusho.Zaidi tembelea www.kanumbathegreat.blogspot.com ambapo utapata picha zaidi wakiwa huko Dodoma.