Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Unapoambiwa Bomoa Hapa !!

Akiwa ameshamaliza Jengo lake la biashara kama kitega uchumi chake anajikuta anaambiwa umejenga chini ya nyaya za TANESCO unatakiwa ubomoe. Unaweza ongea lugha zote siku hiyo hiyo imemkuta mkazi mmoja wa Tabata njia ya kwenda Mtaa wa Ugombolwa ambae aliamua kuwekeza pembeni ya nyumba yake kwa kujenga fremu za biashara.Lakini kipindi chote hicho cha ujenzi mamlaka zote zilikuwa kimya bila hata kumpa onyo lolote hadi alipokuta ukuta una maandishi makubwa bomoa hapa.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

2 maoni

kaka unanikumbusha mitaaa hiyo ya sanene kama sikosei kabla hujafika hapo kuna shule yaitwa Tusiime primary na Secondary.... nilishapita sana hapo maana aaaaah si wajua ujana tena.Siku zote waliliona hilo jengo likikua taratibu imekuwaje leo hii waje na bomoa hiyo wakati alianza jenga wazi wazi kabisa angekuwa amejengea ndani kwake ndio akaitoa nje ingekuwa sawa ...daaaaaaaaaaaaaaah Bongo hali sio kabisa

Reply

mdau ndio mitaa hiyo hiyo ya Tusiime ukitokea Sanene hayo ndio tunajiuliza wenye mamlaka wako wapi siku zote hadi ifikie hali hiyo

Reply
CodeNirvana
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top