Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Asubuhi tulianzia Mtaa wa Kongo


Hapo ni mtaa wa kongo mtaa huu kwa kawaida hujaa pilika nyingi sana Lakini asubuhi huwa mahala patulivu kuliko kawaida na wanapofika huanza na kahawa au Tangawizi kabla ya kuingia kwenye shughuli zao za kila siku. Na vijiwe kama hivi ni vingi sana asubuhi na biashara inayouza asubuhi ni hii ya Kahawa au Tangawizi.

Taswira inaonyesha wapita njia wakipita bila mushkeli tofauti na mida ya wanapofungua biashara mitaa hiyo.


Sokoni Kariakoo nako ni vijiwe vya kahawa na Tangawizi huku wakihabarishana masuala mbalimbali upande wa michezo ni habari kubwa ni kati ya Uongozi wa klabu ya Yanga na Wazee wa klabu bila kusahau Wekundu wa Msimbazi wako Sudan.

Wanasubiri kijua kitokeze uzuri ili wafungue biashara zao hivyo kuichangamsha Kariakoo.Kama kawaida wanapasha vinywa kwa kahawa na tangawizi.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top