Taswira hii imechukuliwa maeneo ya kuelekea Tandika sokoni ambapo kamera ya kijiweni ilitembelea maeneo hayo
Watu wakichakarika ili kujiongezea mkate wa siku uwe wa kutosha na ulio mtamu zaidi kama msukuma toroli huyo akiwa amepakiza mbao akipeleka kwa mteja wake. Wengine kwa mbaali wakiwa wamebarizi wakiongea hili na lile ilimradi siku iweze ishi uzuri.PICHA YA CHINI:Ni eneo la Tandika sokoni kwenye kituo cha daldala za Tabata SEGEREA/MAWENZI kikiwa na dimbwi kubwa la maji yakiwa yametuama na kuleta harufu kali hivyo kuhatarisha afya za wafanyabiashara na wasafiri wanaotumia kituo hicho.
Loading...
Post a Comment
CodeNirvana