Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Hii ndio Ubungo unaponunua Kipande cha Sabuni badala ya Simu


Taswira inamuonyesha kijana akirudisha simu kwenye kijibahasha baada ya kumuonyesha mpita njia kuwa anauza simu Lakini imekuwa ndio michezo yao hiyo inayowafanya wengi kulia kwani Huyo ni mmojawapo ya vijana matapeli waliojaa eneo hilo.Anakuonyesha simu nzuri tu akiuza kwa bei ya kuvutia kumbe mwisho wa yote anakupa kipande cha mche wa sabuni teena akukute nawe mjini hapa ndio umeshuka kama mie wa Kijiweni basi balaa hapo kwani kilio chake si kidogo.Au wale ndugu zetu wamepewa ada wakalipe mashuleni au vyuo ila wao wanajidai wana mipesa wanaamua ifanyia shoping ili wawe juu na kujikuta wakiaachwa midomo wazi pale wanapogundua wameuziwa Kipande cha sabuni.

Cha kushangaza wapo kila siku pamoja na kuwa Pana Kituo cha Polisi eneo hilo.

Jihadhari sana mpita njia hapo Ubungo
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

2 maoni

Mkuu,huu ndio aina ya ubunifu unaohitaji.

Safi sana.

Reply

Ahsante sana mkuu endelea kututembelea nasi tunajitahidi kadri tuwezavyo kuweka mambo sawa

Reply
CodeNirvana
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top