Hapo akitabasamu baada ya kuvaa Suti ya Timu ya Taifa ya Italia kwa ajili ya kupiga Picha ya timu ikiwa ni maandalizi ya kuelekea Euro 2012 inayotazamiwa kuanza mwezi June,2012 huko Poland na Ukraine
Kijana anashangaa hivi ni mie niko bomba namna hii kwani si kawaida ya Mario kuonekana na vazi hilo la suti wengi wamezoea kuona akiwa kwenye mavazi yake tofauti na Suti na hivyo kuonekana kijana mtukutu.
Taswira hizo hapo juu zinamuonyesha Mario Balotteli akiwa katika muonekano ambao wengi wamezoea kumuona tofauti na vazi la suti ambalo hata yeye mwenyewe ameonekana akijishangaa kwamba kumbe hata Suti anaweza kupendeza.
Loading...
Post a Comment
CodeNirvana