Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Inaendelea Baraza la Mawaziri




Raisjakayakikwete:
NAAM:
Ofisi ya Rais - Wassira anaendelea na nafasi yake
Celina Kombani kabadilishiwa Wizara
Nagu anaendelea
Lukuvi anaendelea na kazi yake
Ghasia kabadilishiwa Wizara
Sitta anaendelea na Afrika Mashariki
Nahodha anahamia Wizara ya Ulinzi
Magufuli anaendelea na nafasi yake
Hussein Mwinyi kahamishiwa Afya
Kawambwa anaendelea na ElimuS
Membe anaendelea na Mambo ya Nje
Chikawe anarudi Katiba na Sheria
Sofia Simba na nafasi yake
Nchimbi - Mambo ya ndani
Mathayo David anaendelea
Kabaka anaendelea na nafasi yake
Mbalawa anaendelea na nafasi yake
Tibaijuka anaendelea na nafasi yake
Chizza anakuwa Waziri wa Kilimo chakula na ushirika
Maghembe - Maji
Mwakyembe anakuwa Waziri wa Uchukuzi
Kagasheki - Utalii
Kigoda - Viwanda na Biashara
Mgimwa - Waziri wa Fedha
Prof. Mhongo Sospeter - Madini
Mahanga anaendelea na nafasi yake
Malima amehamishiwa Chakula/Kilimo


NOTE:Tutawaletea kwa uzuri Baraza zima na kwa uzuri baada ya muda si mrefu.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top