Loading...
Kamera yetu Kariakoo Sokoni
Taswira hizo zikionyesha sehemu mbalimbali katika soko la Kariakoo
Mfanyibiashara wa Machungwa akitoa huduma ya kumenya chungwa kwa ajili ya wateja wake Kariakoo sokoni zinaposimama daladala za kwenda Mwenge.
Wakiwa nje ya Soko la Kariakoo stendi ya daladala za Mwenge 'Machinga'wakipiga mzigo kama kawaida bila wasiwasi wowote.Akimuonyesha bidhaa mteja ambae hayupo pichani.
Bidha zikiwa zimesambazwa chini kusubiri wateja hapo ni maeneo ya Sokoni Kariakoo.
Wapita kwa miguu lazima uangalie kwa makini la sivyo unaweza nunua ugomvi hapo kwani njia imekuwa ndogo pindi Machinga wapofungua ''maduka'' yao.
Post a Comment
CodeNirvana