Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

LIVE TOKA JANGWANI: Watu wakiwasili toka maeneo mbalimbali kuja kuhudhuria mkutano wa CHADEMA

Ni muda wa mchana huu watu wakiingia Viwanja vya Jangwani ni watu wa rika mbalimbali wakitumia nyenzo mbalimbali ili waweze fika hapa uwanjani.

Hao ni baadhi ya wanaingia wakiwa ndani ya gari ambalo wamelikodi wao wenyewe hatuweza mara moja jua wametokea sehemu gani ya Jiji hapa DSM.Waingia kwa mbwembwe hapo na kushangiliwa na umati wa watu ambao wameshafika toka mida ya saa nne.


Taswira zikionyesha hao nao wakiwa wanatembe kwa miguu kulekea viwanja vya Jangwani wakiwa na bendera mikononi wengine Huku kombati nazo zikiwa zimeshavaliwa hii ni Jangwani ambapo tayari kumeshaanza jaa kwani wengi wanatiririka kama uonavyo hapo wakija kusikiliza Mkutano huu Mkubwa hapa JAngwani.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top