Loading...
LIVE:Wakiwa wamejipamba bendera Wakishoo Love hapa na pale Jangwani !!
NI kama hivyo Jangwani Kombati kwa sana hapo hao wakishoo love kabla ya mida ya mkutano huo kuanza Mida ya saa kumi
Bendera nazo kama kawa hii ni hapa na pale Jangwani kabla ya Mkutano kuanza
Jamaa alikutwa na kamera yetu akipiga taswira la kumbukumbu nasi Kijiweni tukamkaribisha kwa snepuu hili matata hii ni Jangwani kuelekea Mida ya saa kumi ili mkutano uanze hapa na pale Jangwani.
Post a Comment
CodeNirvana