Kama Kawaida tunakuletea mitwiiti ya Masanja uburudike......
#UkisimamishwaNaTirafikiUsisemeHaya Hebu nishkie bia yangu nikutolee lileseni mwanawani!
#UkisimamishwaNaTirafikiUsisemeHaya Siku hizi naona mnakuza mavitambi tu, haya sema tatizo!
#UkisimamishwaNaTirafikiUsisemeHaya Hata mimi ujue ni polisi pia ila sema basi tu.
#UkisimamishwaNaTirafikiUsisemeHaya Ngoja nimpigie simu Jenerali Mwema, mnazingua sana.
#UkisimamishwaNaTirafikiUsisemeHayaHawakuachi Una kakitambi ka uchokozi sana kopro!
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Ilikuwa na mimi niwe polisi sema tu niliamua kuendelea na shule!
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Kwenye buti hamna kitu kwani lazima ucheki?
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Nimetoka kumcheki jamaa angu anafanya hapo Takukuru nikaona nigeuzie hapa hapa!
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Afande mambo vipi? Hivi ni kweli vilaza madarasani ndo wanakujaga kuwa mapolisi?
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Hebu nishkie hii bia nikutolee leseni yangu.
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Hehehe, naona toka uhamie Dar hata vifungo havifungi mwanawani!
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Khaaaa! Hivi bado uko Dar tu? Umekaa muda!
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Mi sheria nazijua! Usinizingue kabisa!
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Hebu sogea karibu nione hiyo namba yako hapo kwa beji!
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Ujue kodi zetu ndo zinalipa mishahara yenu! Sisi mabosi wako bwana!
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Hivi unafahamu baa au pabu yoyote hapa karibu?
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Nilikuwa naongea na Jenerali Mwema, hebu subiri kidogo
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Kaka naona unakazana kumalizia ile nyumba yako ya Bunju!
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Kazi nafanya Takukuru ila niko likizo kidogo!
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Naona Bhoke na Ghati bado wako nyumbani wanasubiri ada!
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Vipi hali ya biashara? Kijiwe kinasemaje? Naona neema zinakutiririkia tu!
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Naona umetuuuuna unakula kwa urefu wa kamba yako!
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Kiongozi naona unajazilizia mtaji!
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Iko siku Jakaya atapita janksheni kwa janksheni!
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Ile gari ya nyuma yangu wapo Jeri Muro na Saidi Kubeneya.
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Nna hakika nyumba ndogo huwa zinafanya watu wafanye vitu hawapendi kufanya makazini!
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Jana si nilikutoa kiongozi? Leo hali mbaya!
#UkisimamishwaNaTirafikiUkisemaHayaHawakuachi Naona mama Bhoke maji yanakaribia kukauka jikoni!
Mfuatilie Mkandamizaji kwa Twitter....
Masanja Mkandamizaji @masanjawani
Loading...
Home » Unlabelled » Masanjawani na twiiti zake ukarabati kichwa kidogo na hizi shida za kila siku anasema Ukisimamishwa na tirafiki Ukisema Haya Hawakuachi....