Loading...
Mvua yawa kero kwa Wanamichezo
Viwanja vya Biafra vilivyopo Kinondoni ambapo wanamichezo mbalimbali huja na kupasha misuli haasa wale wa mpira wa miguu na wale wa mazoezi ya viungo ukiwa vizuri na wachezaji hao wakipasha uwanjani hapo.
Balaa huja mvua ikinyesha kidogo kwani hutuamisha maji na hivyo kuwaweka wanamichezo wakiwa hawana la kufanya na kukaa huko waliko bila kufanya zoezi kwani kama unavyoona uwanja huo ukiwa na madimbwi baada ya mvua kunyesha kidogo hapo jana na maji kutuama uwanjani hapo.Kama kamera yetu ilivyoukuta uwanja huo jana.
Post a Comment
CodeNirvana