Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Nape Nnauye anasema ''INATOSHA'' karibu operation ya VUA GWANDA NA GAMBA VAA UZALENDO'' Hii ni kupitia Facebook.



INATOSHA!! Mmewadanganya sana watu, utadhani wakivaa magwanda matatizo yao na ya nchi yanakwisha!! Mnatafuta biashara ya magwanda yenu!! Karibuni nazindua operation ya VUA GWANDA NA GAMBA VAA UZALENDO!! kinachopungua kwetu, Afrika na Dunia nzima ni UZALENDO, sasa tunakwenda kuwavua magwanda na magamba na KUWAVISHA UZALENDO na ndo DAWA INAYOHITAJIKA DUNIANI LEO. Stay tuned!!!! Soon operation hii itaanza tufute uongo!
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

2 maoni

Nakupongeza kwa wazo SAHIHI SANA japo nina hakika itakuwa upanuzi wa dhana. Siamini waliosema vaa GWANDA walimaanisha mavazi bali ninaamini ilikuwa symbolic slogan ikimaanisha itikadi na dira maalumu. Unakumbuka KUJIVUA GAMBA, kwani mlimaanisha magamba kama ya chatu au kenge? Ninachokubaliana nawe ni UZALENDO UMEPUNGUA SANA HASA kwa tuliowapa dhamana ya kuhudumia umma huko serikalini. WANACHUMA SANA KAMA MRADI BINAFIS VILE

Reply

Hongera kwa slogan nzuri inayozungumzia UZALENDO kitu adimu sana duniani kama ulivyo tanabaisha. Hofu yangu hiyo SLOGAN utaitumia ikiwa "nyuma" ya chama gani cha siasa hapa TZ? Kama ni hiki chama chako kinacho talawara... Just a simple and free advice! "The Slogan Is Better Than Suiting You"

Reply
CodeNirvana
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top