Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Said Bonge apanda mgomba kwenye shimo Barabara ya Mwananyamala Hospital.



Mfanyakazi wa Clouds FM Said Bonge akipanda mgomba barabara ya Mwananyamala Hospital kwenye mashimo ambalo limegeuka kero kwa watumiaji wa barabara hiyo.Wahusika wamefumbia macho mashimo hayo HIVYO Bonge kuamua kuwakumbusha kwa kupanda migomba kwenye mashimo hayao ili wakipita waweze ona mashimo hayo na kuifanyia ukarabati Barabara hiyo.

PICHA kwa Hisani Ya FULL SHANGWE BLOG.



author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top