Loading...
Taswira toka Kisutu
Rais mstaafu Mkapa akiwa ndani ya gari lake baada ya kutoka kwenye Mahakama ya Kisutu kutoa ushahidi katika kesi inayomkabili Prof.Mahalualiyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu anayekabiliwa na shtaka la uhujumu uchumi akidaiwa kuisababishia serikali hasara kubwa.
Rais Mstaafu B.W.Mkapa akitoka mahakamani baada ya kutoa ushahidi katika kesi inayomkabili Prof.C.Mahalu.
Picha na Mdau wa Jamii Forums.
Post a Comment
CodeNirvana

