Mbunge wa Arumeru Mashsariki Joshua Nassari akipmbewa na Wachungaji wa Kanisa la FPCT wakati alipotoa sadaka ya shukrani akiambatana na Mbunge wa Iringa,Mchungaji Peter Msigwa pamoja na Kingi Lugola toka Mara
Mjane wa Marehemu Kiriro(Kushoto) ambaye alikuwa mmeru wa kwanza kwenda kudai Uhuru akiwa na Mbunge Joshua Nassari ambapo alimsindikiza kutoa sadaka ya shukrani baada ya kuchaguliwa kuwa Mbunge.
Mbunge Joshua Nassari akitoa neno la kushukuru kwenye ibada hiyo kanisani hapo kwa wale wote waliohudhuria ibada hiyo.
Picha kwa Hisani Kubwa ya Full Shangwe.
Loading...
Post a Comment
CodeNirvana