Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

TETESI EURO 2012:Rio Ferdinand kutoitwa Kikosi cha England.


Roy Hodgson Kocha wa Kikosi cha timu ya mpira wa miguu Uingereza Leo anatazamiwa kukitangaza kikosi chake kwa ajili ya mashindano ya mataifa ya Ulaya ''EURO 2012'' yanayotazamiwa kupigwa huko Poland na Ukraine.Habari kuu kwenye vyombo vya habari nchini Uingereza ni kutazamiwa kutoitwa kwa Mchezaji huyo wa United Rio Ferdinand,habari ambazo Rio mwenyewe amekiri kuwa hatakuwa kwenye kikosi hicho kinachotazamiwa kuwa na wachezaji 23.
Pichani Rio akiwa na John Terry enzi hizo akiwa Nahodha wa kikosi hicho ambae anatazamiwa kuitwa kwenye kikosi hicho kitakachotangazwa leo.
Rio bila kuuma maneno alipoulizwa na Mwandishi kuwa ni kweli ?,Ferdinand alijibu''Ndio ni kweli'', kuachwa huko kunaweza kuwa ndio mwisho wake kuitumikia timu hiyo wajuvi wa mambo ya michezo wanatabaininsha.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top