Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Tetesi majuu :Robert Martinez kutua Bwawa la Maini ?

Tetesi za kocha wa Wigan kutua Klabu ya Liverpool fc limechukua sura mpya baada ya kocha huyo kwenda nchini Marekani kukutana na wenye timu Pia kupigwa picha akiwa na Mmiliki wa Liverpool huko Miami hali inayonyesha kuwa timu hiyo iko karibu kumtangaza kocha Mpya kwa msimu ujao wa Ligi 2012/2013.Kutokana na kufanya mazungumzo ambayo hayajawekwa wazi mpaka sasa ni dhahiri kuwa wamiliki hao wamevutiwa na Kocha huyo Martinez.

Robert Martinez akiwasalimia mashabiki wa Wigan katika mechi ya mwisho.Je huo ulikuwa mkono wa kwaheri ? Ni suala la muda tu tutajua ukweli wa mambo.

Taswira hii ni Miami hapo walipoonekana kocha Robert Martinez wakitembea huku wakipata kahawa na Mmiliki wa timu ya Liverpool John Henry ambapo walifanya mazungumzo kwa mara ya kwanza toka kutimuliwa kwa Kenny Daglish siku kumi zilizopita.

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top