Mtaa wa Kongo hapo unapoitafuta Kariakoo Sokoni ni asubuhi ya Leo Ajabu ya maeneo haya ni kuwa Kuna wanafunga biashara zao saa 1 asubuhi ili kuwapisha wenye maduka kufungua Biashara zao.Utajiuliza walianza bishara hiyo saa ngapi ?
Taswira yetu inaonyesha watu ndio wanaelekea mahala pa kazi tayari kwa kuwajibika.
Loading...
Post a Comment
CodeNirvana