Loading...
Visa vya dereva na sarawili yake
Hivi ndivyo 'viatu' vya dereva navyo kavitupaa mbali na miguu yake.Hapo japo picha imekaa upande inaonyesha ssarawili yake kaiegesha tu juu yake sio kwamba kaivaa.
Hapa akiwa anaonekana kaegesha sarawili yake juu ya miguu yake kana kwamba kaiva kumbe anazuga tu kama vijana wa mjini wanavyosema ikiwa ni tabia yao kutopenda mavazi yao ya kazi.
Hali ya madereva kutopenda mavazi yao ya kazi kama huyu aliekutwa na kamera yetu maeneo ya Ilala Buguruni katika daladala la Mwananyamala tabia hiyo imekidhiri kiasi cha baadhi yao kuvaa vazi hilo kana kwamba kalazimisha kuvaa ilihali yupo eneo la kazi linalo mpatia kipato hivyo hana budi kuliheshimu.
1 maoni:
hii kali
Reply