Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Yaya Toure alikoanzia


Toure (katikati)akiwa kinda kabisa akionyesha kipaji chake timu ya watoto ASEC Mimosas ya Ivory Coast.

Enzi hizo Toure (nyuma ya Picha) akiichezea timu ya Beveren nchini Belgium.

Akapitia Arsenal 2003, kufanya majaribio sio kwambahakukidhi viwango la hasha ila ni tatizo la pasipoti ndilo lililofanya asisajiliwa na kuachwa.Hayo yanasemwa na Wenger na Toure mwenyewe.
Hapo akiwa Barcelona baada ya kuichezea As Monaco kwa Msimu mmoja.Baada ya Kombe la Dunia la Mwaka 2006 As Monaco Klabu ya zamani ya Wenger walimnunua kwa £4m


Akatua Man City ambapo wanapigania kuutwa Ubingwa wa EPL kwa msimu huu wa 2011/2012.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top