huyu ndie dereva wetu kwa siku ya leo anaefanya safari zake kati ya Segerea Tabata na Tandika

Daladala Time tutakuwa tukiwaletea yanayotokea ndani ya daladala kila siku kwa wale watumiaji ambako tutakuwa tunawaangazia dereva na kondakta jinsi baadhi yao wasivyo heshimu Mavazi yao.