
Leo wale wanaopitia kwenye madirisha hatukuwaona.Ila jionee mwenyewe kila mmoja ana haraka hapo hata washukuo nao hukumbwa na adha hiyo.Tumeambiwa Wizara ya Ujenzi imetengewa Sh693 bilioni bajeti ijayo.Barabara zetu vipi zitapata nafuu ?
Your description comes here!