Featured

    Featured Posts

    Social Icons

    .
Loading...

Kutoka Maktaba yetu: Taswira mitaa ya Upanga


Taswira hiyo Upanga nyumba zikiwa na rangi moja hapo ni Kituo cha Palm Beach Mida ya Jioni.Juu wingu zito likiwa limetanda na baadhi ya maeneo mvua ilikuwa inanyesha hapo kila mtu akiwahi rudi nyumbani hivyo kuleta foleni kubwa sana kwa wale waliokuwa wakitoka mjini kulekea Maeneo ya Kinondoni,Mwananyamala Masaki na mwenge pia HUku wale wenye usafiri wa Boda boda wakitiririka taratiibuu (Picha toka maktaba ya Kijiwe tarehe 11.05.2012)

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Udaku Kijiweni
Back To Top