Loading...
Kweli pesa Sabuni ya Roho
Ya kweli haya Wana Msimbazi ? Pesa hiyo mbele yako mwaga wino hapa.Hapa hakuna cha Cheki sijui uende Benki nao waje na hadithi nyingine hapana wao wakaamua kumuwekea mbele yake ili azione kwa macho yake.
Au aligoma saini nini ?.Maswali ni mengi.Huyu ni YONDANI mchezaji wa simba akitia saini kuichezea Yanga Msimu ujao 2012/2013.
Post a Comment
CodeNirvana