Loading...
LIVE:Hii ni toka Jangwani
Kwa Lugha nyingine wanasema ni nyomi ikiwa imefurika Viwanja vya Jangwani muda huu ambapo Mkutano unaendelea nia ni kuwapongeza viongozi wa mashina na matawi waliochaguliwa katika uchaguzi wa CCM ulifanyika kwa ngazi hizo mkoani Dar es Salaam.
Hao ni wanachama wa CCM ambao wako kwa wingi maeneo hayo ya Viwanja vya Jangwani ambapo viongozi wa Chama wanatoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali yanayotokea nchini.Hii ni KIjiweni toka Jangwani.
Wakiwa wanawasikiliza viongozi wa CCM kwa umakini kabisa hii ni muda huu toka Jangwani ambapo panafanyika Mkutano wa Hadhara kwa wakazi wa Jiji La Dar es Salaam na viunga vyake.
Post a Comment
CodeNirvana