Loading...
Mahojiano na Mhe. Mch Peter Msigwa na Mhe Joshua Nassari Part 1
Hii ni sehemu ya kwanza kati ya mbili za mahojiano na wabunge wa CHADEMA waliokuwa ziaran hapa Marekani.
Kati ya waliyozungumzia ni safari yao kuingia bungeni, walilojifunza, mikakati yao ya kuhakikisha wanatekeleza ahadi zao na mahitaji ya wananchi wao na mengine mengi.
Source:CHADEMA blog
Post a Comment
CodeNirvana