Loading...
Mh.Peter Msigwa kupitia Facebook ameandika hivi..
Ni kwa nini kama watanzania tunapenda kuchukulia mambo kama yanavyokuja,kwa nini hatujiulizi, kwa nini tuko hivi tulivyo,kwa nini tuendelee kuwa hivi tulivyo.tumefikaje hapa tulipo.tunawezaje kuondoka hapo tulipo. au tuendelee kukaa hapo tulipo.kItU gani kifanyike ili tuondoke hapo tulipo. itatugharimu nini kuondoka hapa tulipo,naitachukua mda gani kuaondoka hapo tulipo. WABONGO HATUTAKI KUJIULIZA MASWALI HAYA ,HALAFU TUNAIJIITA WABONGO, NI UBONGO GANI TUNAOTUMIA
Post a Comment
CodeNirvana