Loading...
Operation Vua Gamba Vaa Gwanda yaingia Babati Vijijini
Kamanda Magoma Jr akiwa na Mh.Pauline(Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara)
Taswira za Operation inayoendeshwa na CHADEMA nchi nzima ya M4C hapo ikiwa ni Mkoa wa Manyara wakigawa kadi kwa wanachama wapya huko Babati Vijijini.OPERATION VUA GAMBA BABATI VIJIJINI
WANACHAMA WA CCM WAKIVUA GAMBA NA KUVAA GWANDA.
Post a Comment
CodeNirvana