Taswira hizo zikionyesha namna abiria asubuhi ya leo wakipandia madirishani hii ni Buguruni kwa wale waendao KAWE hali huwa ngumu sana wa watumiaji wa daladala kutokana na idadi kubwa ya wasafiri.Haya si Mbgala tu hata huku Buguruni pia yako
Loading...
Post a Comment
CodeNirvana